Nasikia makaburi hayo yanalindwa hivi sasa.Wanakaza tako buree...
Wanaendelea kuhakiki taarifa ya CNN, aisee nimecheka sana eti Msigwa nae anataka haki...Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.
Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC,Deutsche Welle na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
Kweli ndugu?Na bado ile nyingine walisema ndio noma zaidi
Lipo linakuja la msaidizi akimimina risasi kwa vijana waliowakamataπππCNN watoe kombora lingine la kufunga kazi kabla ya 9December
Na bado documentary nyingine iko jikon imekaribia kuivaSerikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.
Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC,Deutsche Welle na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
Kujaa kwa askari pale ni kielelezo kuwa kuna ukweli.Nasikia makaburi hayo yanalindwa hivi sasa.
Aandamane! Haki haiombwi inachukuliwa kwa nguvu.Wanaendelea kuhakiki taarifa ya CNN, aisee nimecheka sana eti Msigwa nae anataka haki...
Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.
Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC,Deutsche Welle na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
Amenunua kiwanja KondoHivi mtu kama Msigwa Akija kuacha kazi au kustaafu anakwenda kuishi wapi?