Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

CNN ni media kubwa sana duniani na wazungu wote wawe wa Europe au Amerika wanaiamini sana.

Yaani habari ikitoka cnn ujue wazungu.wataifuatilia kwa kina. Investors. Tourists. Financial markets zote huwa zinapewa push.na cnn
 
Msigwa kutaka kupambana na CNN ni ulevi tu wa madaraka
 
Larry Malowo: CNN has updated our Tanzania investigation to include the government spokesman’s comments.

Kazi ipo.
 
Kichwa cha habari kiko wazi. Ripoti ya CNN ninkama baruacya mapenzi au wimbo mzuri japo maudhi kwa watawala vipofu na mazwazwa. Ni chawa na mimiani tu ambao wameichukia.
 
Back
Top Bottom