Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Usainii unaendana na umaarufu, changamoto ni masharti yanayoambatana na huo umaarufu ndiyo shida ilipo
Sio jambo la ajabu ukiambiwa uukane uanamme wako kwaajili ya umaarufu
Kuna shida kubwa sana kwenye hiyo tasniaKweli mkuu ndio maana tunaona wanavaa kama wanaweza.
Cha msingi walinde tu migongo yao
Wanamuziki,waigizaji na wanafasheni ni ndugu wa damu wa madawa ya kulevya,kupiga au kupigwa miti,iluminati
Kuna shida kubwa sana kwenye hiyo tasnia
Sehemu pekee comfortable na haina mambo mengi sana ni halmashauri. Utafanya kazi, utakula na kuvaa.
Ila ukitaka maisha makubwa, kujulikana ama kuwa mtu flani exceptional bhasi uwe tayari kulipia gharama exceptional pia...
Ndio dunia ilivyo
Donati DotinataCha msingi walinde tu migongo yao
ππ πππ€£πππKweli Mtu Analegeza Masharti Mpaka Mjegeje....Na hawa masharti yao ya kike yakoje, wanapigwaje mijegeje?
Na hawa masharti yao ya kike yakoje, wanapigwaje mijegeje?
ππ πππ€£πππKweli Mtu Analegeza Masharti Mpaka Mjegeje....
Sio huyo tu Kanye West alifanya confession wakajua ni kichaa,yule dogo mmoja wa disney na muigizaji alifanya confession pia(anaitwa China Anne McClain) utajua mziki au filamu inasehemu kubwa ya giza kuliko kipaji.