DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Amesema akiwaamesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake.
ametumia media ipi
alikuwa anazungumza na nani
mjadala ulikuwa unahusu nini
weka maelezo yanayoeleweka
Amesema akiwaamesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake.
Ni ulimwengu mkubwa kushinda huu ulimwengu unaoonekana kwa macho. Wanaojua jinsi ya kuzamia huko ndio wanaoishi maisha mazuri katika huu ulimwengu unaoonekana. Mchawi anapoingia ndani ili hali umefunga mlango, anatumia ulimwengu wa roho. Tatizo ni siri, watu wanafanya mambo kwa siri.
Amesema akiwa
ametumia media ipi
alikuwa anazungumza na nani
mjadala ulikuwa unahusu nini
weka maelezo yanayoeleweka
Ni noma kuna mshikaji wake na Mavoko alikuwa anasema jamaa kutoka kwenye label pendwa ilikuwa ni kulinda mgongo wake(japo Rich Mavako hajawahi kusema hivyo hadharani lakini washikaji zake huwa wanasema.So,inabaki kuwa tetesi)Sio mchezo kaka no free lunch
Wengine ndio wanapata magonjwa ya ajabu, kukosa watoto, vifo vya ghafla na mengine mengi.
Ni noma kuna mshikaji wake na Mavoko alikuwa anasema jamaa kutoka kwenye label pendwa ilikuwa ni kulinda mgongo wake(japo Rich Mavako hajawahi kusema hivyo hadharani lakini washikaji zake huwa wanasema.So,inabaki kuwa tetesi)
Japo inaweza kuwa kweli maana boss wake wa zamani kazungukwa na ******* kibao,kuanzia huyo dogo anaye muita designer wake,watangazaji kibao kwenye radio yake nasikia ndio basi tena(japo ni maneno ya mtaa)
Kwani nani kakuambia ukiwa msanii lazma kuna mikataba ya siri utasaini mkuu ?..Kwamba sio sanaa tuu hata kwingine kama unataka kuwa exceptional kuna mikataba ya siri lazima usaini.?
Kwani nani kakuambia ukiwa msanii lazma kuna mikataba ya siri utasaini mkuu ?..
Kila kada au tasnia ina namma yake ambayo watu waliomo humo wanaichukulia kama standard au lifestyle inayotakiwa.
Kwa wasanii umaarufu unamforce msanii aishi nje ya ukawaida wa watu wengi. Sasa hii huwezi kuifanya bila pesa kwa hiyo kama sanaa inakulipa ni rahisi. Ila kama haikulipi lazma itakuforce uitafute hiyo pesa nje ya sanaa ili ulinde hadhi ya jina lako. Hapo ndipo mtego ulipo
Inabidi walinde vinyeo vyao kwa wivu mkubwa, waache kupenda kuwa chakula
Kwa mwanaume kuharibiwa uanaume wako ni bora ufe tu uzikweWanapenda umaarufa na hela zaidi ya uanaume wao.
Kwa mwanaume kuharibiwa uanaume wako ni bora ufe tu uzikwe
Dudubaya nina nidhamu kwa Baba na Mama.....William Ngelela....nampenda na kumthamini mama yangu....Tatu Athumani. Dudubaya Zimwi Mtu....
Ni fedheha kubwa sana, heshima ya mwanaume siku zote ipo kwenye urijali wake na uanaume wake , ukivipoteza hivyo ni janga kubwaWanajiliwaza kwa kuhamasisha wengine wengi zaingie wao ndio wanapata relief.
Ni fedhea kabisa kupoteza uwanaume wako.
Devil contract.
Anakwambia one dearth for one fame life.
HAPANASawa sawa lakini inasemekana pia
Sanaa ni ngumu kukulipa katika hali ya kawaida. Ili ujulikane hata na uwe na mvuto wa hali ya juu na upate hela nyingi lazima kuwe na nguvu ya zaida ndio mtego wenyewe wengi wanadakwa hapo.
Ni fedheha kubwa sana, heshima ya mwanaume siku zote ipo kwenye urijali wake na uanaume wake , ukivipoteza hivyo ni janga kubwa