Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

HAPANA

Sanaa inahitaji uwekezaji na uwe na watu sahihi hususani wanaoijua biashara ya muziki vizuri. Hapo utatoboa haswa ukiwa msikivu

Kuwa na kipaji au umaarufu ni jambo moja. Kuvigeuza kuwa pesa ni jambo jingine

Hayo mengine maovu yanamfuata kila mtu aliye na spotlight kwa hiyo mtu akiona hizo njia ndizo sahihi ni sawa pia.

Tatizo mkuu kuna wanao endesha dunia hii kwa hiyo ili usonge mbele lazima upite kwenye mifumo yao na ndio maana unaona hata wasanii wa nje nao wamo wengi tena wakubwa sana unafikiri ni kwa nini
 
Asante mkuu 👏🏾👏🏾👏🏾

Mtu akikufuata na kukuambia ufanye ABC ili utoboe na ukakubali.. Hiyo ni juu yako ila ukiamua kukaza na ukatoka hata kwa kuchelewa kama Darasaa. Inawezekana pia

Hakika. Watu waache tamaa mbaya.
 
It is ridiculous. Bora aishi miaka 40 yafuraha kuliko 70 ya shida. Majinga sana.
Kuna confession niliiona alikuwa anasema zendaya alie cheza marry Jane kwenye new spider wa kuanzia 2017 namaanisha thom Holland.

Anasema wanajoin bila kujua terms yani unapewa contract labda Usain company ya SONY.

After that wanakupa DEVILISH CONTENT uintroduce kupitia carrier yako either mziki au mpira au ni actor.

Na kumbuka hii wanaifanya kwa wale ambao wana potential kubwa na influence kubwa kwa watu kwa hiyo wanatumia njia hiyo kuwa sign in.
 
Umaarufu ni kama kinyesi , kikiwa tumboni harufu yake hainuki lakini ukinya tu hiyo harufu yake ni hatari mno!

Umaarufu unawahangaisha sana. Kutaka kuonekana wewe ni watofauti kumbe kuna yalioyo nyuma ya pazia.

Alafu wanakuja kutudhihaki Watanzania eti fanyeni kazi...
 
Kuna confession niliiona alikuwa anasema zendaya alie cheza marry Jane kwenye new spider wa kuanzia 2017 namaanisha thom Holland.

Anasema sometimes wengine wanajoin bila kujua terms yani unapewa contract labda Usain company ya SONY.

After that wanakupa DEVILISH CONTENT uintroduce kupitia carrier yako either mziki au mpira au ni actor.

Na kumbuka hii wanaifanya kwa wale ambao wana potential kubwa na influence kubwa kwa watu kwa hiyo wanatumia njia hiyo kuwa sign in.

Itakuwa wanaitumia hii baada ya kukulambisha asali wanakuingiza bila kujua alafu wanaendelea kuku expose kwenye ulimwengu wao polepole.

Mtu akiambiwa huku ndio kunakufanya ufanikiwe zaidi mwisho wa siku na yeye anafurahia ila anapozidi kuijua ndio anaona hii ni too match ni mambo yanayotoa ubinadamu wake ndio maana wengine wana confess wazi hata kama watakufa potelea mbali.
 
Sehemu yeyote ambayo iko na pesa mingi, deals nyingi, Connection kubwa, Panakua na mambo ya hovyo.

Utapata pesa na maisha safi, ila utaiacha nafsi yako nyuma saana, so utakaa kuitafuta furaha ya nje daily on material things, ila deep down kuna chembw chembe za kuto kuridhika.
 
Kabisa, mtu nafsi yake ameitoa kwa shetani, anajaribu kuonesha kwa watu anafuraha ila kumbe wapi ni anabaki kunywa pombe, bangi na mambo mengine mengi machafu kupoteza stress alizonazo.
 
juzi hapa bungeni waziri anatoa majibu yasiyoeleweka kuhusu academy kuwa na michezo michafu kwa watoto..

Ni hatari sana niliona wetu wengi walitoa comment juu ya hizi academy kwa kweli inatisha.

Sijui alitoa majibu gani kwa sababu sikusikiliza ila alitakiwa asema watafanya uchunguzi wa kina kubaini
 
Mzee share your source na sisi tujifanyie uhakiki.

Wewe nenda kahakiki uje upinge. No spoon feeding here. Kasome.

Na kwa nini unataka source au ndio unapinga kwa sababu na wewe ni miongoni mwao.

Hizo evidence nyingi walizotoa watu hujaona au una rationalise.

Pole mkuu acha denial kubali hali yako na angalia namna yakutoka kwenye hicho kifungo.
 
Asante mkuu 👏🏾👏🏾👏🏾

Mtu akikufuata na kukuambia ufanye ABC ili utoboe na ukakubali.. Hiyo ni juu yako ila ukiamua kukaza na ukatoka hata kwa kuchelewa kama Darasaa. Inawezekana pia

hiyo mada yako mpya..

kinachoongelewa hapa ni kuwa kwenye tasnia ya muziki kuna mambo ya kisengelenyuma mengi, na ni ukweli kuwa sekta za burudani ndo ufukuaji wa mitaro uko sana..

sasa hoja yako ya ni ridhaa ya mtu kukubali au kukataa haiondoi kilichoongelewa kwamba kunatisha..
 
Back
Top Bottom