kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Ilikua kidogo tu niingie kwenye maagano mazito sana
Nitaleta uzi
Nitaleta uzi
Pole mzee ilikiaje na sisi tujifunze yasitukute hayo.Ilikua kidogo tu niingie kwenye maagano mazito sana
Nitaleta uzi
Wenyewe utasikia " nafanya biashara" muulize sasa biashara gani🤣🤣Wanamuziki,waigizaji na wanafasheni ni ndugu wa damu wa madawa ya kulevya,kupiga au kupigwa miti,iluminati
Nipe channel Mimi nijiunge na maagano nina njaa Kali ya pesaIlikua kidogo tu niingie kwenye maagano mazito sana
Nitaleta uzi
Wenyewe utasikia " nafanya biashara" muulize sasa biashara gani🤣🤣
Tasnia ya burudan, Hususani miziki na filamu, kuna ushetani fulani hivi mle ambao ukiwa nje unaweza sema hao jamaa ni watu walio na furaha sana ila deep down wana msongo wa mawazo sanaHii ishu ni pana sana aise kumbe hadi Eminem kaizungumzia kwenye huo wimbo.
Na ishu ya Beyonce kufungua hadi kanisa wana Mungu wao wanamtumikia..
Tasnia ya burudan, Hususani miziki na filamu, kuna ushetani fulani hivi mle ambao ukiwa nje unaweza sema hao jamaa ni watu walio na furaha sana ila deep down wana msongo wa mawazo sana
Mbona mume wake ni msanii hadi leo anasemaje alifurahi kuuacha?Alafu wanajaribu kuonesha kuwa ni watu wenye furaha na mafanikio sana
Ndio maana V money, Vanessa Mdee alitoka hadharani akasema akiwa kwenye mziki alikuwa anapitia sonona kali na alishukuru Mungu kuuacha mziki.
Porojo hizoSawa sawa lakini inasemekana pia
Sanaa ni ngumu kukulipa katika hali ya kawaida. Ili ujulikane hata na uwe na mvuto wa hali ya juu na upate hela nyingi lazima kuwe na nguvu ya zaida ndio mtego wenyewe wengi wanadakwa hapo.
Propaganda hizo watu wanadai unaingia kwa devils ili update jina we unasema tena wanaaangalia wenye jina sasa kumbe unaweza PATA jina bila devilspowerKuna confession niliiona alikuwa anasema zendaya alie cheza marry Jane kwenye new spider wa kuanzia 2017 namaanisha thom Holland.
Anasema wanajoin bila kujua terms yani unapewa contract labda Usain company ya SONY.
After that wanakupa DEVILISH CONTENT uintroduce kupitia carrier yako either mziki au mpira au ni actor.
Na kumbuka hii wanaifanya kwa wale ambao wana potential kubwa na influence kubwa kwa watu kwa hiyo wanatumia njia hiyo kuwa sign in.
Mbona mume wake ni msanii hadi leo anasemaje alifurahi kuuacha?
Hakuna wakugusa mgongo wangu zitapigwa ngumi mpaka kesho🤣🤣🤣Ni mtu ameshika neno sana mume wake.
Na wewe niliona umeingia kwenye mziki kuwa makini wasikupake wese kijana, kwa ahadi ya kukuza studio yao 🤣
Watu famous wote wapo under devil supervision?Propaganda hizo watu wanadai unaingia kwa devils ili update jina we unasema tena wanaaangalia wenye jina sasa kumbe unaweza PATA jina bila devilspower
Porojo hizo
Hakuna wakugusa mgongo wangu zitapigwa ngumi mpaka kesho🤣🤣🤣
Ingekua ni kweli basi wasingekuwepo wasanii masikini, nacho taka kusema ni kuwa, chanzo cha yote nikitaka maisha makubwa tusiyo kua na uwezo nayo, unakuta msanii anatamani maisha ya diamond bila kujua mondi kavipata vip? Hii ni hatari sana ni vema kurizika na maisha Yako kitu amabcho nikigum kwa msanii mana ili kujenga brand lazima uwe na maisha yakueleweka , hupand daladala, huli magengeni, unavaa nguo mpya na za wakati, unahela cash ili kuhonga media nk, niambie hizo hela unatoa wapi
Watu famous wote wapo under devil supervision?
Kwahiyo fame ni mpaka uwe tayar na devilish contract?.
Na wapi nimesema wanataka ambao wanajina ?.
Unaelewa mana ya influence au potential mkuu ?.
Em quote hyo part nlio andika wanataka watu wenye jina tayari.
Acha propaganda wewe, huna mbele Wala nyuma ukaingizwe kwenye devils acha basi kudanganya? Vijana wapo wengi kitaa wanataka hiyo nafasi wanaishiwa kuliwa hela tuWatu famous wote wapo under devil supervision?
Kwahiyo fame ni mpaka uwe tayar na devilish contract?.
Na wapi nimesema wanataka ambao wanajina ?.
Unaelewa mana ya influence au potential mkuu ?.
Em quote hyo part nlio andika wanataka watu wenye jina tayari.
Mkuu hapa nilipo fika mbona nipakubwa tuPorojo sio? wewe bado mchanga utafikia sehemu utajionea mwenyewe.