Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

Inaonekana Tasnia ya Muziki ina siri nyingi na machafu mengi sana

Alafu wanajaribu kuonesha kuwa ni watu wenye furaha na mafanikio sana

Ndio maana V money, Vanessa Mdee alitoka hadharani akasema akiwa kwenye mziki alikuwa anapitia sonona kali na alishukuru Mungu kuuacha mziki.
Ile ni facade , ni marketing stunts tu ka ajili ya kazi yao but in reality they are living in hell. Ni watu wachache wanao elewa hilo
 
Ile ni facade , ni marketing stunts tu ka ajili ya kazi yao but in reality they are living in hell. Ni watu wachache wanao elewa hilo
Sure they are not happy. Wanabaki kutumia madawa kujiliwaza.
 
Alafu wanajaribu kuonesha kuwa ni watu wenye furaha na mafanikio sana

Ndio maana V money, Vanessa Mdee alitoka hadharani akasema akiwa kwenye mziki alikuwa anapitia sonona kali na alishukuru Mungu kuuacha mziki.
Kwahiyo madee ameacha mziki sio juzi tumeandaa ngoma Kali
 
Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Mziki na Mastaa wake. Sasa tukihusianisha na yale ya Pdid, R Kelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana mziki wanakataa.

Mnaoijua kiundani na mliopo kwenye hii Tasnia tujuzeni.
Inasiktisha sana ,muziki ndani yake una ushetani.

#YBWYB - Mamba24
 
Back
Top Bottom