Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Point yangu kuwa uchafu na mambo ya kishetani yapo sekta nyingi ila si kila aliyepo kwenye hizo sekta anayafanya.hiyo mada yako mpya..
kinachoongelewa hapa ni kuwa kwenye tasnia ya muziki kuna mambo ya kisengelenyuma mengi, na ni ukweli kuwa sekta za burudani ndo ufukuaji wa mitaro uko sana..
sasa hoja yako ya ni ridhaa ya mtu kukubali au kukataa haiondoi kilichoongelewa kwamba kunatisha..
Kwa hiyo ukitaka kuyaepuka, usiwe na ambition au matamanio makubwa kwa sababu yana gharama yake haswa ukiwa huna ustahimilivu.