Kumekucha kumekuchaa mtoa mada alitoa rai mapema lakini.Kuhusu Uraia sis haituhusu , awe muingereza au Mtanzania atajua mwenyewe.
Hatuna huo uwezo na tekinolojia ya kutrack watu hao.Na uhakika ana uraia wa UK ila nataka kukwambia tu ukweli ni ile hali serikali na kigugumzi kuhusu uraia pacha ila hata viongozi wengi tu wana pass mbili na hata wafanya biashara. Tukishikilia sheria kwa nguvu wengi tutasafirisha ila tunajuwa sheria sio kwa wote, inachagua.. Mimi binafsi sina shida nakuwa na uraia pacha ni kuweka masharti tu basi lakini sina shida nayo.
Aahaaaa,eti chobingoHili suala la Uraia pacha serikali ichukue maamuzi magumu ilikubali sambamba na kuifanya bandari zetu kuwa duty free.
Haiwezekani, unakomaa na lisheria ambapo baadhi ya watu unatambua kuwa Wana uraia pacha unawatambua kama Watanzania ila wengine unasema unawapa hadhi maalumu
Wawe wazi kama kanisa Katoliki ambao Pombe, kitimoto wameruhusu na wanavibariki kama vyakula na bado wapo poa tuu hakuna tatizo lolote, tofauti na wale machoni pa watu wanakomaa kuwa ni haramu lakini wakiwa chobinga wanamwagilia Moyo kwa pombe na kujenga afya kwa mdudu huku wakijua Mungu wanayemdanganya anawaona
Aisee nilisoma hii asubuhi nikabaki ninawashangaa kama wana football editor. Konyo sana hawa.Ndiyo maana BBC ina hasira na sisi! BBC haitambui kuwa Tanzania tumefuzu...ona maandishi Yao.
===
Saturday's three qualifiers join Algeria, Burkina Faso, Cape Verde, Egypt, Equatorial Guinea, Guinea, Guinea Bissau, Mali, Mozambique, Morocco, Nigeria, Senegal, South Africa, Tunisia and Zambia at the finals alongside Ivory Coast, who qualified automatically as hosts.
Amebug pa kubwaKuhusu kuchezea hizi timu za under 17 na under 20 hakuna kikwazo kwa wachezaji kwa taifa atakalohitaji kutumikia. Lkn ukicheza timu ya wakubwa ya taifa fulan huwez jucheza timu yeyote dunian hivyo huyu mchezaji alikuwa bado na option either achezee england or tanzania na kwavile amevaa jezi ya tz ya wakubwa kamwe hatochezea england maana yake ameopt kuchezea tanzania
handsome??? duuuh,sorry lakin we ni me au ke?Kwa kuwa ni handsome , una mleta hapa ili ,waleeeeeeeee wampaparukie au sio !!!!
Sio kweli diego costa kacheza Brazil ya wakubwa kombe la mabara baadae akachukua uraia wa spain kachezaKuhusu kuchezea hizi timu za under 17 na under 20 hakuna kikwazo kwa wachezaji kwa taifa atakalohitaji kutumikia. Lkn ukicheza timu ya wakubwa ya taifa fulan huwez jucheza timu yeyote dunian hivyo huyu mchezaji alikuwa bado na option either achezee england or tanzania na kwavile amevaa jezi ya tz ya wakubwa kamwe hatochezea england maana yake ameopt kuchezea tanzania
Kuchezea timu ya England under 17 hakumzuii kuchezea taifa lingine ambalo ni raia!! Kwa mujibu wa FIFA alikukuwa na haki ya kuchezea England kwa sababu alizaliwa England kwa hiyo ni muingereza kwa kuzaliwa. Lakini kwa kuwa baba yake ni Mtanzania, anaweza kuomba uraia wa Tanzania na kustahili kuchezea Taifa la Tanzania. Ila kama angechezea Timu ya wakubwa ya uingereza hata mara moja tu, hapo asingekuwa na haki ya kuchezea Timu ya Taifa ya nchi yoyote nyingine!! Hiyo ni mkwa mujibu wa FIFA. Mtu mmoja hawezi akachezea timu zaidi ya moja ya Taifa katika maisha yake!!Wataalam naombeni kujua kuhusu hili, maana amezaliwa England kwa Mama Mzungu na Baba Mtanzania wa Zanzibar. Kwenye timu ya England U 17 amecheza pia. Na sasa ni kati ya mabeki wetu wa kutegemewa Taifa Star.
Je mchakato wa uraia wake upoje ??
Nikiri nimechelewa kulijua hili.
PIA NAOMBENI MAJIBU YASIYO NA MATUSI MAANA MTANZANIA UKIOMBA KUJUA JAMBO UTAONA ATAKACHOJIBIWA HADI AKOME
Unachosema siyo kweli!! Kwa mujibu wa kanuni za FIFA kuhusu uchezeaji wa timu za Taifa, MTU MMOJA HAWEZI KUCHEZEA ZAIDI YA NCHI MOJA KWENYE TIMU YA TAIFA YA WAKUBWA KATIKA MAISHA YAKE!! Kuchezea timu za under 17, 21 etc haimnyimi mtu kuchezea Taifa jingine!! Lakini kuanzia 2020, kanuni zilibadilika. Mtu anaweza kuchezea si zaidi ya mechi 3 kwenye timu ya Taifa ya Wakubwa akiwa na umri usiozidi miaka 21, na bado akaruhusiwa kuchezea Taifa jingine ambalo ana nasaba nalo kupitia mmoja wa wazazi wake!! Lakini mtu zaidi ya miaka 21 akicheza timu ya Taifa ya wakubwa mara moja tu, hawezi kuruhusiwa kuchezea timu nyingine!! Lakini hapa hatuzungumzii mechi za kirafiki au mechi za kufuzu (qualifiers)Sio kweli diego costa kacheza Brazil ya wakubwa kombe la mabara baadae akachukua uraia wa spain kacheza
Wachezaji kama
Larpote kacheza France kaenda Spain
Zaha
Sent using Jamii Forums mobile app