Inaonyesha Haji Mnoga alichezea U 17 ya Uingereza na sasa Taifa Star

Wataalam naombeni kujua kuhusu hili, maana amezaliwa England kwa Mama Mzungu na Baba Mtanzania wa Zanzibar.

Kwenye timu ya England U 17 amecheza pia. Na sasa ni kati ya mabeki wetu wa kutegemewa Taifa Star.

Je, mchakato wa uraia wake upoje?

Nikiri nimechelewa kulijua hili.

PIA NAOMBENI MAJIBU YASIYO NA MATUSI MAANA MTANZANIA UKIOMBA KUJUA JAMBO UTAONA ATAKACHOJIBIWA HADI AKOME
Alibadili uraia na kuwa mtanzania
 
Uraia kama mkazi wa nchi husika anabaki nao ule ule ila ni kwenye soka tu ndio anatambulika kama raia wa nchi nyingine. Kama uyo dogo kwa upande wa uraia bado ni muingereza ila kwenye soka tu ndio kachagua kucheza Tanzania. Mfano Diego Costa kisheria anatambulika kama raia wa Brazil ila kwenye soka alichagua kucheza Spain.
Diego Costa ni Mhispania vile vile ni Mbrazil
 
Uraia kama mkazi wa nchi husika anabaki nao ule ule ila ni kwenye soka tu ndio anatambulika kama raia wa nchi nyingine. Kama uyo dogo kwa upande wa uraia bado ni muingereza ila kwenye soka tu ndio kachagua kucheza Tanzania. Mfano Diego Costa kisheria anatambulika kama raia wa Brazil ila kwenye soka alichagua kucheza Spain.
Hii umeisoma kwenye sheria Gani nchini Tanzania?

Kifungu kipi?
 
Uraia kama mkazi wa nchi husika anabaki nao ule ule ila ni kwenye soka tu ndio anatambulika kama raia wa nchi nyingine. Kama uyo dogo kwa upande wa uraia bado ni muingereza ila kwenye soka tu ndio kachagua kucheza Tanzania. Mfano Diego Costa kisheria anatambulika kama raia wa Brazil ila kwenye soka alichagua kucheza Spain.
Acha uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom