Inaonyesha Haji Mnoga alichezea U 17 ya Uingereza na sasa Taifa Star

Sio kweli diego costa kacheza Brazil ya wakubwa kombe la mabara baadae akachukua uraia wa spain kacheza
Wachezaji kama
Larpote kacheza France kaenda Spain
Zaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia details: Kombe la mabara kweye qualifier stage haichukuliwi na FIFA kuwa umeshiriki mashindano rasmi ukiwa timu ya Taifa ila kama ukishiriki fainali zake. Kwa mfano kama tusingefuzu kushiriki fainali za AFCON zijazo, wachezaji walioshiriki hatua za awali hawafungwi na sheria hii ya FIFA ya kutokuchezea timu za Taifa mbili.

In September 2020, the 70th edition of the FIFA Congress approved a rule change that now allows players to switch if they have played no more than three competitive matches at senior level prior to them turning 21 including no appearances in FIFA World Cup finals matches or continental finals (e.g. the UEFA European Championship). However, appearing in a tournament qualifier would not.[31][32][33][34] Furthermore, players who played for their home country but not at senior level, who were under 21 at the time and have since lived in a new country for five years or more can apply for the right to represent their new place of residence.[35] This also applies to players that began living on the territory before the age of 10 for at least three years.[36]

Lakini pia mchezaji kushiriki timu ya Taifa kwenye mechi za kirafiki hazimfungi mchezaji na timu hiyo ya Taifa kwa mujibu wa FIFA.

Friendly match appearances do not commit a player to one country; Jermaine Jones played several friendlies for Germany but made his debut for the United States in 2010.[22] Thiago Motta had three caps for Brazil in matches deemed friendlies for Brazil (participation in the CONCACAF Gold Cup as a non-conference guest team) and went on to represent Italy for five years.[23] Diego Costa represented Brazil in two friendlies[24][25] before switching his allegiances to Spain in 2013,[26][27] going on to represent the latter at the 2014 and 2018 FIFA World Cups.

Zingatieni pia kuwa kabla ya 2020 mtu alikuwa anafungwa kwenye timu moja ya wakubwa ya Taifa akiichezea mechi moja tu. Lakini baada ya 2020, inabidi mtu achezee mechi zaidi tatu kwenye timu ya wakubwa ya Taifa akiwa chini ya miaka 21 ili asipewe fursa ya kuchezea timu nyingine ya Taifa ya wakubwa!!
 
huyo dogo yeye amesema ni mtanzania na anajivunia utanzania. although anafanya sucrifice kubwa sana ambayo wabongo hawaioni. kama amezidi miaka 18 that means ameamua kuwa mtanzania badala ya kuwa muingereza. kama angeamua kututosa wabongo, kwa kifupi, yeye kuwa na passport ya uingereza ni heshima kubwa sana, anaweza kupata mafao mengi tu nayo na ataheshimika bila kusumbuliwa popote atakapoenda, tofauti na wewe unayeomba visa kila unakoenda, uingereza angekuwa ameamua kuwa muingereza akawa na passport ya uingereza, hahitaji visa kwenye nchi nyingi sana na kila anakoenda ana privileges nyingi sana kwasababu tu yeye ni muingereza. kuna manufaa hata ya shule, social securities na ajira n.k. hivyo vyote ameamua kusacrifice ili awe mbongo nchi ya ubabaishaji. hamuoni kama watu wanatwishwa mzigo mzito sana ili wawe watanzania? uraia wa nchi mbili una shida gani na hasara gani kama tukiongea kwa hoja. sio huyo mmoja tu, wapo na wengine wengi huku majuu, wabongo kila wakienda huku huwa wanazaa na hao watoto ni damu yetu.
 
Uraia pacha wa nini
Amua kuwa Mtanzania pekee au uwe Raia mweusi ndani ya nchi ya wazungu
Jione fahari kuwa Mtanzania
Unasema nchi ya kubabaaisha kivipi
Kama ni hivo kawe Raia wa popote unapotaka
Kuwa Raia wa Tanzania tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida ni kwamba kichwa chako kimejaa kamasi tu, na hauna exposure. ungeongea hoja, kwako wewe uraia pacha una madhara gani? inakuathiri nini wewe kama Tanzania itakuwa na uraia pacha? mbona nchi zingine zenye uraia pacha zina ishi vizuri hata kuliko tanzania?
 
Una uhakika?
 
Umeandika mengi ila embu tungie kwenye tafakuri

Wengi wanaotaka uraia pacha ni kwa ajili ya economic benefit kwa mataifa ya ughaibuni khasa Ulaya na Marekani.
Ushawahi kujiuliza Uraia pacha pia utahusika kwa mataifa tuliyopakana nao?
ushafikiri madhara ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kitamaduni pale wimbi kubwa kutoka mataifa kama Kongo, Rwanda, Burundi,Msumbiji, KOmoro, Kenya,Zambia, Malawi,Somalia na Zimbabwe?
Unaweza kulikontroo na kulidhibiti hili kundi?

kwa nini uraia pacha na sio tatu au nne au zaidi? Msingi mkubwa wa watu kutaka uraia pacha ni klwa sababu waliukana uraia wa Tanzania kwa ajili ya manufaa yao binafsi(profiteers) unadhani hawa watu wataendelea kuwa wazalendo?

Ukitaka kuwekeza Tanzania njoo kama mgeni mwekezaji ila wengi waliopo nje wanafanya kazi za kijungu jiko tu.
 
Ww ndo ujui . Kuna a lot of effects from political interference to economic interference . Uraia pacha ni country system failures . Yani mtu wa Norway agombee Ubungo Tanzania Akiwa raia wa Norway . Anaweza kuwa corrupt and then extradiction and law interference ikawa ngumu . Uraia pacha ni mbaya sana na very few countries implement it . Ww ndo akili huna . Kichwani matope . Ujui kitu . Exposure yako imeishia kusikia tu kwa watu . Kama sio a powerful country this is a stupid policy ever
 
Halafu hao walioukana uraia wao kisa tu waneemeke kiuchumi huko walipo ni dhahiri watakuwa tayari kuihujumu nchi yao ya Asili. Kwanza ndio wanaoongoza huko mitandaoni KUITANGAZA VIBAYA TANZANIA. HAKUNA DIASPORA ALIYEWAHI KUISEMA VEMA SERIKALI TANGU NYERERE YUPO MADARAKANI. .
 
Umetoka kwenye familia yenu ukahamia kwa jirani na kwasababu ya utajiri wa huyo jirani akakuambia ili uwe mwanafamilia yao basi mkane baba, mama na ndugu zako ambao ni maskini, na wewe kwasababu umeona utakula pilau na kuku ukaamua kuikana familia yenu ( Siwajui watu hawa).

Sasa tena familia uliyoikana unataka ikutambue na kukupa haki zote LAKINI UENDELEE KUWA TOTO PENDWA KWA TAJIRI. Je huyu baba yako wa kufikia akikuelekeza kufanya jambo baya au hujuma UTAKATAA? OBVIOUSLY YOU WILL SAY " YES I WILL".

Uraia pacha kimsingi una faida kubwa sana kwa hayo mataifa makubwa na moja ya malengo yao ni kutengeza puppets kwa mataifa mengine. Kwa nchi masikini hakuna faida zaidi ya kuhujumiwa na hao wenye uraia pacha.

Waliosoma Cuba wanaelewa
 
[emoji23][emoji23]Salamaleko
 
Huyo dogo ana uraia wa England, CCM na shetani ni ndugu yaani washa tuona sisi wengine kama mifugo wao ndio wana haki na hii nchi
 
kama ana manufaa kuna ubaya gani? hapa bongo hatuja wahi kua na wabunge wahindi na warabu?
 
kama ana manufaa kuna ubaya gani? hapa bongo hatuja wahi kua na wabunge wahindi na warabu?
Try it tutajuta aisee . We shouldn’t even talk about it . Kama sio super power very few countries use that
 
Alikuwa hajatimiza miaka 18 kwahyo uwenda alikuwa bado hajafanya maamuzi ya uraia wake
 
Unazingua wewe Prince Boateng kachezea Ujerumani ya wakubwa na Ghana pia.
 
Uraia kama mkazi wa nchi husika anabaki nao ule ule ila ni kwenye soka tu ndio anatambulika kama raia wa nchi nyingine. Kama uyo dogo kwa upande wa uraia bado ni muingereza ila kwenye soka tu ndio kachagua kucheza Tanzania. Mfano Diego Costa kisheria anatambulika kama raia wa Brazil ila kwenye soka alichagua kucheza Spain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…