daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Alibadili uraia na kuwa mtanzaniaWataalam naombeni kujua kuhusu hili, maana amezaliwa England kwa Mama Mzungu na Baba Mtanzania wa Zanzibar.
Kwenye timu ya England U 17 amecheza pia. Na sasa ni kati ya mabeki wetu wa kutegemewa Taifa Star.
Je, mchakato wa uraia wake upoje?
Nikiri nimechelewa kulijua hili.
PIA NAOMBENI MAJIBU YASIYO NA MATUSI MAANA MTANZANIA UKIOMBA KUJUA JAMBO UTAONA ATAKACHOJIBIWA HADI AKOME
Diego Costa ni Mhispania vile vile ni MbrazilUraia kama mkazi wa nchi husika anabaki nao ule ule ila ni kwenye soka tu ndio anatambulika kama raia wa nchi nyingine. Kama uyo dogo kwa upande wa uraia bado ni muingereza ila kwenye soka tu ndio kachagua kucheza Tanzania. Mfano Diego Costa kisheria anatambulika kama raia wa Brazil ila kwenye soka alichagua kucheza Spain.
Zaidi ya uhakika!Una uhakika?
Hii umeisoma kwenye sheria Gani nchini Tanzania?Uraia kama mkazi wa nchi husika anabaki nao ule ule ila ni kwenye soka tu ndio anatambulika kama raia wa nchi nyingine. Kama uyo dogo kwa upande wa uraia bado ni muingereza ila kwenye soka tu ndio kachagua kucheza Tanzania. Mfano Diego Costa kisheria anatambulika kama raia wa Brazil ila kwenye soka alichagua kucheza Spain.
Acha uongoUraia kama mkazi wa nchi husika anabaki nao ule ule ila ni kwenye soka tu ndio anatambulika kama raia wa nchi nyingine. Kama uyo dogo kwa upande wa uraia bado ni muingereza ila kwenye soka tu ndio kachagua kucheza Tanzania. Mfano Diego Costa kisheria anatambulika kama raia wa Brazil ila kwenye soka alichagua kucheza Spain.
Ubrazil ndio wa kuzaliwa huo hispania ni kwenye soka tuDiego Costa ni Mhispania vile vile ni Mbrazil
Ukweli ni upi?