Inapobidi kumkana mama

Duh ila hii huwa inatokea sana sema wengi wanakana

Watu wapo tayar wahonge gari,nyumba,simu bei mbaya kwa wanawake kuliko kumtumia mama vocha hata ya jero au kumtumia laki moja kila mwezi
Wala si uongo wanaongea tu hapa, tena utakuta mwanamke mwenyewe si mkewe ni dangaji tu
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hili ndiyo litakufanya umkatae mama kwaajili ya demu,mwenzio nishachapwa mbele ya demu kwa kusingiziwa nimeiba hela
maza kanikunja katikati ya mnada,tena alivogundua najisikia vibaya ndiyo kwanza akazidisha kipigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani tena ntaona farahari sana na namwambia kabisa huyo dem mamangu anatupenda sana na sahani napokea kwa mikono miwili kwa kutabasamu huku nkisema ahsante mama na hapohapo naondoka kwenda alikosema niende

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duh kwa hiyo mpo kwenye sherehe ambayo haina msosi... au kwa sababu wadogozako hawapo shereheni!

By the way utaanzaje kumkana mama kwa sababu ya demu 'unayemtongoza'... utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…