Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Wala si uongo wanaongea tu hapa, tena utakuta mwanamke mwenyewe si mkewe ni dangaji tuDuh ila hii huwa inatokea sana sema wengi wanakana
Watu wapo tayar wahonge gari,nyumba,simu bei mbaya kwa wanawake kuliko kumtumia mama vocha hata ya jero au kumtumia laki moja kila mwezi