Inapobidi kumkana mama

Inapobidi kumkana mama

Duh ila hii huwa inatokea sana sema wengi wanakana

Watu wapo tayar wahonge gari,nyumba,simu bei mbaya kwa wanawake kuliko kumtumia mama vocha hata ya jero au kumtumia laki moja kila mwezi
Wala si uongo wanaongea tu hapa, tena utakuta mwanamke mwenyewe si mkewe ni dangaji tu
 
Hili ndiyo litakufanya umkatae mama kwaajili ya demu,mwenzio nishachapwa mbele ya demu kwa kusingiziwa nimeiba hela
maza kanikunja katikati ya mnada,tena alivogundua najisikia vibaya ndiyo kwanza akazidisha kipigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetulia ZAKo KWENYE Sherehe na MTOTO mkali Unamtongoza maraa MAMAAKO anakuja na Sahani Limeja wali

"WEKa Kwenye RAMBO kubwa Mkale na WADOGo zako mie LEO sipiki Tena na OLE WAKO Ule Njiani " [emoji13][emoji13]Unaweza SEMA mama mie sio mwanao, mwanao Katoka hapaa sio Muda[emoji23] issue Utarudia Wapiii??
Yaani tena ntaona farahari sana na namwambia kabisa huyo dem mamangu anatupenda sana na sahani napokea kwa mikono miwili kwa kutabasamu huku nkisema ahsante mama na hapohapo naondoka kwenda alikosema niende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetulia ZAKo KWENYE Sherehe na MTOTO mkali Unamtongoza maraa MAMAAKO anakuja na Sahani Limeja wali

"WEKa Kwenye RAMBO kubwa Mkale na WADOGo zako mie LEO sipiki Tena na OLE WAKO Ule Njiani " [emoji13][emoji13]Unaweza SEMA mama mie sio mwanao, mwanao Katoka hapaa sio Muda[emoji23] issue Utarudia Wapiii??

Duh kwa hiyo mpo kwenye sherehe ambayo haina msosi... au kwa sababu wadogozako hawapo shereheni!

By the way utaanzaje kumkana mama kwa sababu ya demu 'unayemtongoza'... utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu!!!
 
Back
Top Bottom