Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Taifa lolote duniani Kati uhai wake lazima lifikwe na majanga au shida fulani hii ya korona ni mojawapo ila katika ngazi ya kidunia.
Haki za serikali nchi inapopatwa na shida ni hizi zifuatazo Kama nionavyo Mimi superbug.
Kulindwa
Kuheshimiwa
Kuvumiliwa
Kusaidiwa
Kuachwa itende kwa Uhuru.
Kulindwa
Kila raia Ana wajibu wa kuilinda serikali na nchi yake wakati wa shida.
Kuheshimiwa.
Kila raia Ana wajibu wa kuiheshimu serikali inapotoa maelekezo halali kwa manufaa ya umma.
Kuvumiliwa.
Wakati wa shida raia tunapaswa kuivumilia serikali mfano.seikali ikisema jamani nchi iko vitani hatutalipa mishahara kwa miezi mitano tunawajibu wa kuwa wavumilivu kwa mustakabali wa taifa.
Kusaidiwa.
Kuna njia nyingi za kuisaidia serikali mojawapo ni Kama ile ya rostam Aziz wewe fanya kwa uwezo na nafasi yako.
Kuachwa itende kwa Uhuru.
Hupaswi kuiingilia serikali inapotekeleza majukumu yake ya kisheria kwa manufaa ya umma.
Ila huzuiwi kuishauri.
Kwanini bandiko hili.
Alieyerusha video ya hospital ya Amana anazua taharuki isiyo ya lazima kwa Jamii.Anaongea taarifa ambayo haijathibitishwa na mamlaka kumbuka yoyote anaweza kutunga Jambo kwa manufaa yake binafsi au ya waliomtuma.Mtu Kama yule akikamatwa atasema ameonewa?
Wakati mwingine tunaichokoza serikali bure bila sababu.
Nampa pole alierusha video ya Amana Tena mpeni pole ameikosea serikali na amelikosea taifa mkimuona mwambieni atuombe msamaha Kama katumwa aliemtuma pia mpeni pole.
Super.....bug....!