sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Binafsi nina mke ila hili swali nimelikuta huko jukwaa lingine la kimombo nimeona nilete humu kuongezana maarifa
Ni maswali yanayoonekana ni ya kipuuzi ila yana umuhimu kujua.
Mida ya usiku wa giza ndio mengi ya giza hufanyika na hata nguvu za giza kutawala, yapasa mtu kabla hajalala aombe kwa Mungu ulinzi ili aamke salama.
Sasa basi hii ndio inakiwaga mida kunako kufanya tendo ili kupunguza kiwanda, Wanawake tunawalala na hatimae kupunguza kiwanda ila pia kuna wazee wabishi wanaogeuza mikono kuwa kama uke na kujimwagisha shahawa.
Hakunaga marefu yasiyo na ncha, shughuli ya kupunguza kiwanda ikiisha zoezi linalofata ni kulala.
Sasa je, mtu alietoka kumwaga shahawa ikiwa hajashirikiana na mke wake halali katika zoezi hizo, anaweza bado kuomba kwa Mungu?
Binafsi naona ni kama kumuongezea Mungu hasira kwamba unamchukulia poa