Inaruhusiwa kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Katiba za vyama na sheria ya nchi inasemaje kuhusu mtu kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa? Wanachadema waliojiunga chaumma, wamejivua uanachama wa chadema au ni wanachama wa vyama vyote?
 
Inaruhusiwa mm ni ccm ila pia ACT
 
Inaruhusiwa mbona tangu zamani? Mpina ni mwanachama wa CCM na ni mwanachama wa muda wa ACT Wazalendo, Kama ilivyokuwa tu kwa Lowasa, Sumaye na hata Dr. Slaa, kikubwa uwe na connection na kiwango kikubwa cha unafiki
 
Katiba za vyama na sheria ya nchi inasemaje kuhusu mtu kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa? Wanachadema waliojiunga chaumma, wamejivua uanachama wa chadema au ni wanachama wa vyama vyote?
Kwani wana Chadema wanajivuaje uwanachama ionekane sio Wana Chadema tena?
 
Back
Top Bottom