Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Inaruhusiwa mm ni ccm ila pia ACTKatiba za vyama na sheria ya nchi inasemaje kuhusu mtu kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa? Wanachadema waliojiunga chaumma, wamejivua uanachama wa chadema au ni wanachama wa vyama vyote?
Bahati mbaya zaidi hili halijazungumziwa kwenye sheriaKatiba za vyama na sheria ya nchi
So watu kama Yericko Nyerere bado ni wanachama hai wa CDM?Ester Matiko kajiunga ccm 2022, lakini kawa mbunge wa chadema hadi Agosti 3 2025.
Kwani wana Chadema wanajivuaje uwanachama ionekane sio Wana Chadema tena?Katiba za vyama na sheria ya nchi inasemaje kuhusu mtu kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa? Wanachadema waliojiunga chaumma, wamejivua uanachama wa chadema au ni wanachama wa vyama vyote?