Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Tangu nijiunge na JF sijawahi kupata PM ya aina hii ndo maana nimeamua kuiweka hapa uvumilivu umenishinda

Kilichonisikitisha zaidi ni siku hiyo hiyo ndo kajiunga kaja na matusi

user-offline.png
Girlie Girlie
19th February 2011 06:26 PM

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 19th February 2011
Location : Dar
Posts : 43
Thanks14Thanked 5 Times in 4 Posts

Rep Power : 0

icon1.png
niache tafadhali

Huna akili pamoja upremium member wako. Ungekuwa na heshima ukaacha kunifatilia, endelea na maisha yako. I wish ningeweza kukublock milele!
 
Hairuhusiwi Aisee, Pole sana nafikiri ni ufinyu wa mawazo, Fikra na uwezo wa Ku-reason mambo!
 
JF vituko haviishi...!
Pole bi dada!
 
Pole sana DA,
Binafsi hujiepusha kutukana kwa mujibu wa imaan yangu, kutukana sio uungwana hata kidogo. kuwa muungwana kwa kumsamehe huyo kiumbe.
 
Na kuweka PM hapa public ni kosa katika JF rules

Utakula BAN muda si mrefu
 
Wengine sie mambo hayo hatuwezi my dear. Leo umepunguza ukali kidogo na wewe

Tusi ni "relative term"

Wengine sisi makuli Bandarini neno "mshenzi" ni "sifa", pale baa yetu gongo la mboto maneno "ms**ge, fa*a, unakanyagwa" ni maongezi amabayo yanafanya "ununuliwe" The Kick..

Hapa JF sidhani kama kuna tusi - labda kama keyboard yako na MODEM/ADSL zina matatizo!
 
Taarifa za kiitelijensia zinaeleza kuwa huyu ni mdada maarufu tu hapa JF, sasa kutokana na kushindwana mawazo kwenye zile sred zingine, kaamua ajiunge atafute ID mpya akushambulie kiuvunguniuvunguni...

Ukifuatilia sred za wiki iliyopita utamgundua...
 
Well said,
nakumbuka mtiririko wa sreds nyingi kuanzishwa na user mmoja ( Girlie & Not Enough),, walitusumbua sana jamvini nilidhani wako makini kumbe...!
 
Well said,
nakumbuko mtiririko wa sreds nyingi kuanzishwa na user mmoja ( Girlie & Not Enough),, walitusumbua sana jamvini nilidhani wako makini kumbe...!

Hapo ndipo palipoleta shida
 
mpotezee tu huyo,mi mwenyewe alini-PM sema nikacheka weeeeeee,nikamjibu afanye atakalo....mpotezee!!!!

we Dena nae,upo dunia gani mtu ka huyu anakusumbua kichwa? i repeat,she does not worth your time not even a secong to think about her!!!
 
Well said my dear
 
Back
Top Bottom