Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

mpotezee tu huyo,mi mwenyewe alini-PM sema nikacheka weeeeeee,nikamjibu afanye atakalo....mpotezee!!!!

we Dena nae,upo dunia gani mtu ka huyu anakusumbua kichwa? i repeat,she does not worth your time not even a secong to think about her!!!

Aisee miChelle...ulijuaje kama hiyo mutu ni SHE?
 
Aisee miChelle...ulijuaje kama hiyo mutu ni SHE?

kama ni mwanaume ana tabia zile then ni *******....am sure ni msichana mwenye umri mdogo tu,mi ndo maana sikuona shida ya kujibizana nae,as huko anakopita nilipita miaka nyuma....l.o.l:wink2:
 
kama ni mwanaume ana tabia zile then ni *******....am sure ni msichana mwenye umri mdogo tu,mi ndo maana sikuona shida ya kujibizana nae,as huko anakopita nilipita miaka nyuma....l.o.l:wink2:

HIZO nyota natamani nijue ulimaanisha nini.....manake ziko saba...lol
 
Achana nae tu na kumu ignore thats all,again member wengi wanaingia juzi basi ni wenyeji wa kila kitu humu,achana nae na wala usimjibu....
 
Achana nae tu na kumu ignore thats all,again member wengi wanaingia juzi basi ni wenyeji wa kila kitu humu,achana nae na wala usimjibu....

sikumjibu kitu chochote ndo maana nikauliza hili swali wengine hatujawahi kutukana mtu sasa unapopata kitu kama hiki unashituka.

Thanks mkuu tuko pamoja
 
Mhh...Pole dear! Kwa kweli wewe ni kuachana naye tu! wengine wana matatizo binafsi...... wanatafuta kumalizia hasira zao!
 
We si umesema nina kesi ya kujibu.....Nshafika na wakili wangu tayari...Msome mwenyewe hapa chini.....

Wakati unanikosea alikuwepo?? Hii ni between me and you. Full stop!!!!
 
Wakati unanikosea alikuwepo?? Hii ni between me and you. Full stop!!!!

Hivi mawakili huwa wanakuwepo wakati mwenye kesi akifanya kosa.

Usinambie wakili wa chenge alikuwepo wakati chenche akikibajaji kibajaji cha watu
 
Back
Top Bottom