Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Pole shemeji yangu, uko powa lakini?
Huyo shostito anakuonya ukome kumfuatilia, hapa inaonekana amekuja na id mpya ili akutolee hasira alizokuwa nazo juu yako.
Pengine ujitathmini shem isijekuwa kweli umemkwaza mahali fulani, ingawa pia nakuaminia sana.