Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

inatisha sana mkuu....!

maisha hayatishi hivyo lol


hebu pita zero baadae unywe maji ya 500 kwa bili yangu

Sawa mkuu nipe muda nifanyie kaz, hapa nipo mobile
 
inatisha sana mkuu....!

maisha hayatishi hivyo lol


hebu pita zero baadae unywe maji ya 500 kwa bili yangu

Duuh nilikuwa sijaiona hiyo ofa dauni, ngoja nimalizie kupalilia bustan ya ofisi Mkuu, tena naombea maji yasikatike maana ataniambia nikachote na tolori
 
Aisee we dogo usiitoe hiyo avatar!

Inanipa apetaiti ya kula kitimoto!

Babu wajukuu zako Michelle na DA wakisaidiwa na kijana Teamo wanataka kuandamana niitoe avatar hiyo
 
Tangu nijiunge na JF sijawahi kupata PM ya aina hii ndo maana nimeamua kuiweka hapa uvumilivu umenishinda

Kilichonisikitisha zaidi ni siku hiyo hiyo ndo kajiunga kaja na matusi


user-offline.png
Girlie Girlie

19th February 2011 06:26 PM

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 19th February 2011
Location : Dar
Posts : 43
Thanks14Thanked 5 Times in 4 Posts

Rep Power : 0


icon1.png
niache tafadhali

Huna akili pamoja upremium member wako. Ungekuwa na heshima ukaacha kunifatilia, endelea na maisha yako. I wish ningeweza kukublock milele!
MMU plz...stick to the forum ethics ..chuki na bifu zenu pelekeni kwenye PMz zenu bana..:A S 13:
 
Watu wengine hawajalelewa vizuri na wazazi wao,wanashindwa kukabiliana na changamoto wanzaozipata kutokana na thead zao wanaishia kutukana watu,kubadilisha ID ili watoe matusi vizuri.Huko ni kufirisika kihoja.Unapoweka hoja yako hapa jamvini ujue watu watacomment kulingana na hoja iliyowekwa kama ni pumba watacomment pumba, kama ni mchele watacomment mchele.
 
Lakini mimi niombe radhi kwa Dena na wengine wote ambao walitukanwa siku hiyo. Na sijajua hadi leo ni kwa nini mimi sikutukanwa wakati ni mimi nilianzisha hiyo commotion.

Mimi nilimuona huyo mdada ameanzisha thread nne mfululizo ndani ya nusu saa na zote sikuelewa alimlenga nani wala alikusudia nini. Kwa hiyo nikamuuliza "what is da point?"

Dena, Lizzy, Michelle na wengine wakamtetea na kuniambia kwamba nijaribu tu kuelewa na kama sikuelewa basi nipotezee. Tena walimsifu na kumkaribisha.

Sasa sijui ni makuzi? au yuko humu humu na ID nyingine kwamba alikuwa anawatafuta?

Hata hivyo poleni sana waliotukanwa
 
Back
Top Bottom