Tuanzie na hapa sisi (wewe) wananchi tunataka nini? Maana kama hatujawaambia hao Wabunge hawatajua tunataka nini.Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti,wanasema bunge letu kwasasa halijui wajibu wake,wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani,wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo,hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.
Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.
Wewe ulimtuma nini mbunge wakoTuanzie na hapa sisi (wewe) wananchi tunataka nini? Maana kama hatujawaambia hao Wabunge hawatajua tunataka nini.
1....
Sijamtuma chochote maana sijawahi kukutana naye na hata akiitisha mkutano yeye ndiye mzungumzaji na wananchi ni wasikilizajiWewe ulimtuma nini mbunge wako
Unadhibitije kitu kilichokufa?Bunge halijakosa mwelekeo; ila limebadilisha mwelekeo. Badala ya kuisimamia serikali, sasa liko bize kudhibiti UKAWA. Huu ni mwelekeo mpya ambao yule jamaa wa Korea Kaskazini aitwaye Kim Jon Guful anaupenda sana.πππ
NI WOTE WA CCMToa mifano ya wabunge ambao wananchi hawana hamu nayo.....
Otherwise itakuwa n porojo tu....
HahahaBunge halijakosa mwelekeo; ila limebadilisha mwelekeo. Badala ya kuisimamia serikali, sasa liko bize kudhibiti UKAWA. Huu ni mwelekeo mpya ambao yule jamaa wa Korea Kaskazini aitwaye Kim Jon Guful anaupenda sana.πππ
Hatari sana....ndo hayoo..mbunge anafanya yake tofauti na matakwa ya wananchiSijamtuma chochote maana sijawahi kukutana naye na hata akiitisha mkutano yeye ndiye mzungumzaji na wananchi ni wasikilizaji
mi sijaonana naye toka kamaliza kampeni sasa nitamtumaje?Wewe ulimtuma nini mbunge wako
Hajawahi kurudi jimboni toka kampeni ziishe...ila wakati wa kampeni tulimwambia akazungumzie kuhusu pembejeomi sijaonana naye toka kamaliza kampeni sasa nitamtumaje?
wewe je wako umemtuma nini ili niigilizie siku nikikutana naye?