Tetesi: Inasemekana Bunge la Tanzania limekosa mwelekeo

Tetesi: Inasemekana Bunge la Tanzania limekosa mwelekeo

Bunge halijakosa mwelekeo Ila limebadili mwelekeo.Badala ya bunge kuicmamia serikali sa hivi inafanya kaz ya kutekeleza maagizo yatolewayo na Boss.
Mawaziri nao wameufyata wizara zmebaki zikisimamiwa na PhD ya Yohana Wine, kila abiria anafany kaz kumfurahisha dreva wake acje akashushwa njiani.
Njaa za walio wengi zmehamia kichwani hata wasomi wanaruhusu taaluma zao zbakwe.
Hahaa! Yohana mvinyo, kweli lazima wote tupombeke. Chizi kapewa rungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti, wanasema Bunge letu kwa sasa halijui wajibu wake, wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani, wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo, hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.

Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.

Kwa nini Prefix uweke tetesi wakati ndo ukweli!
 
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti, wanasema Bunge letu kwa sasa halijui wajibu wake, wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani, wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo, hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.

Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.
Ukilinganisha na Bunge la wakati gani??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom