Tetesi: Inasemekana Bunge la Tanzania limekosa mwelekeo

Unadhibitije kitu kilichokufa?
Hivi kikao cha UKAWA mwisho wake ilikuwa ni lini?
mambo mengine unyamaze dogo sio mpaka vijana wafukue makaburi

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Wa wakilishi wa wananchi na watekelezaji wa sera za serikali ni ma RC na ma DC
 
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti,wanasema bunge letu kwasasa halijui wajibu wake,wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani,wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo,hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.

Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.
Spika mwenyewe Ndugai, mtu aliyetakiwa kwenda jela kwa shambulio.

Mbwa wa Magufuli.

Unategemea nini?

Hii nci nzima inaoza, si bunge tu.

Sent from my Kimulimuli
 
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti,wanasema bunge letu kwasasa halijui wajibu wake,wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani,wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo,hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.

Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.
Wanajua wanachokifanya: ni kuzira tu kwenda mbele, ila cha ajabu hawaziri siku nzima sababu wanajua watakosa pesa ya siku!
 
Hapa naona hakuna hoja zaidi ya vijembe tu,ingawa kulikuwa na mwelekeo mzuri
 
Bunge kama mhimili kwa sasa ni sehemu ya dola, ukiibua hoja za kuibana serikali spika au mbunge wa ccm anaijibu
 
Najiuliza kwa sauti ni kwanini katika lile suala la Makonda wakati wa kutaja majina ya wanaohusika na unga waliungana na kuwa kitu kimoja? Jambo ambalo sijawahi kuliona..

(Japo sijui kuhusu nia ya Makonda)
 
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti,wanasema bunge letu kwasasa halijui wajibu wake,wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani,wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo,hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.

Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.

Ukiona Mtu anaishi kwa kusema neno inasemekana au anaishi kwa dhania fulani juu ya jambo fulani au mambo fulani automatically jua kuwa huyo Mtu ni Mpumbavu namba moja hapa Duniani na pengine hata Mbinguni. Binadamu wa kweli hatutakiwi kuishi kwa kuhisia vitu au kubashiri isipokuwa tunatakiwa kuwa very scientific na kusimamia katika uhalisia. Muda mwingine namlaumu sana Mungu kwanini kaniumba na hii Black Ngozi yangu wakati najiona kabisa kuwa upeo wangu wote ni wa Kizungu tupu ambao ni wa kuona mbali na kupenda maendeleo zaidi na siyo huu Uswahili Uswahili wetu wa kuishi kwa hisia au inasemekana.
 
Kukosa mwelekeo kwa kuzira na kutumia lugha isiyo ya staha kwa serikali (walio wachache bungeni) au kwa kushauri serikali kwa lugha ya staha (walio wengi bungeni)?
Hii ni tathmini ya jumla au ni utafiti wa kidhanifu au wa kisayansi?
 
  • Thanks
Reactions: 365
waliokosa muelekeo ni wabunge wa ccm maana wao wapo pale sio kuwasemea wananchi bali kuitetea serikali na kupingana na mbunge yoyote anaeioji serikali
 
Ukiona Mtu anaishi kwa kusema neno inasemekana au anaishi kwa dhania fulani juu ya jambo fulani au mambo fulani automatically jua kuwa huyo Mtu ni Mpumbavu namba moja hapa Duniani na pengine hata Mbinguni. Binadamu wa kweli hatutakiwi kuishi kwa kuhisia vitu au kubashiri isipokuwa tunatakiwa kuwa very scientific na kusimamia katika uhalisia. Muda mwingine namlaumu sana Mungu kwanini kaniumba na hii Black Ngozi yangu wakati najiona kabisa kuwa upeo wangu wote ni wa Kizungu tupu ambao ni wa kuona mbali na kupenda maendeleo zaidi na siyo huu Uswahili Uswahili wetu wa kuishi kwa hisia au inasemekana.
Brother umebwabwaja,scientifically Hakuna mbingu wala Mungu!
 
Back
Top Bottom