Hahaa! Yohana mvinyo, kweli lazima wote tupombeke. Chizi kapewa rungu.Bunge halijakosa mwelekeo Ila limebadili mwelekeo.Badala ya bunge kuicmamia serikali sa hivi inafanya kaz ya kutekeleza maagizo yatolewayo na Boss.
Mawaziri nao wameufyata wizara zmebaki zikisimamiwa na PhD ya Yohana Wine, kila abiria anafany kaz kumfurahisha dreva wake acje akashushwa njiani.
Njaa za walio wengi zmehamia kichwani hata wasomi wanaruhusu taaluma zao zbakwe.
Wewe na mafala wenzako ndivyo mnavyopenda.Upinzani kwisha habari yake.
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti, wanasema Bunge letu kwa sasa halijui wajibu wake, wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani, wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo, hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.
Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.
VTANGU DEREVA WA LORI ALIVYOMPA MAAGIZO SPIKA. BUNGE LIKAFIA PALEPALE.
wazaramo wana msemo, wanasema kusoma hujui hata picha huoni?Toa mifano ya wabunge ambao wananchi hawana hamu nayo.....
Otherwise itakuwa n porojo tu....
Ukilinganisha na Bunge la wakati gani??!Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti, wanasema Bunge letu kwa sasa halijui wajibu wake, wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani, wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo, hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.
Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.