Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

Mmh!kumkuta dem wa uswazi humu sidhani kwa ninavyo fahamu Mimi,wale kusoma kwao adhabu,ukiwa insta na fb ndio kwao
 
Msamehe tu mleta uzi analala sebuleni kwa shemeji yake ushuani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me naishi Tandale you can imagine [emoji12][emoji12][emoji12]
basi itabidi tuonane.. kumbe majirani.. hebu fungua hiyo pm
 
''Dushe mkononi.. Papuchi kwa jirani!'' Ndio mijineno yao hiyooo.. Inawezekana aiseee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Hadi mahabuba wangu Geniveros nae wa huko?!
 
Back
Top Bottom