Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

Inasemekana eeetii mademu wengi humu JF ni wa uswazi, wakina Mwajuma Nikome.
Hii inatokana na post zao na comments zao.

Madem wa geti kali hawaijui JF wao wapo insta, fesibuku na twita.

Miss Natafuta, Shunie
the thing is tanzania ni uswazi koote halafu si wanawake tu watu wengi tunaishi uswazi hata wewe ni mswazi''''''''
 
Hivi uswazi sio sehemu inayofaa kuishi?
Au wanaokaa uswazi hawafai kuwa member JF?
 
NA kila mtu kafika chuo kikuu huku hakuna la saba huku jf [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mie nipo wa darasa la saba wee ukhuty!
 
Kasoro Lara 1...ni wa kishuaa but ana tu element twa uswazi sometimes [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Msamehe tu mleta uzi analala sebuleni kwa shemeji yake ushuani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me naishi Tandale you can imagine [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji13] [emoji13] [emoji124]
 
Itakuwa wew ndo wa kwanza wa la saba humu jf nduki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Yawezekana pia wapo wenzangu walioishia darasa la saba humu JF ila hawajawazi
 
Back
Top Bottom