Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Yes,baba ake ni mchungaji.Kumbe ni Mtoto wa Mchungaji.
Sijui kwanini watoto wa wachungaji/watumishi wa Mungu wanaharibika mno. Hasa jinsia ya Kike. Kuna kitu.
Huyu kuharibika mama mtu kachangia ni kimeo balaaa
Mpk nilikuwa najiuliza huyu baba n. Kilimkuta kumuoa mwanamke km huyu?
Ni shida