Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Walikua wamejazana vibaka tu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaam,
Kama mtakumbuka eneo la stand ya Mwenge ambapo ni maarufu wakati ule kwa wamachinga palivunjwa kwa lengo la kufanyia maboresho.
Sasa kilichotokea, inasemekana Mnada kwa wale yale mabanda mapya umefanyika Usiku wa kuamkia Jana na GSM amepata zaidi ya nusu ya mabanda ya Stand.
Kama ni kweli, hii sio haki kabisa kwa watu wa pale na walikuwa na uwezo wa kushinda mnada.
NB: kama ni kweli, sidhani kama Rais ataenda kuzindua kwa kuwa ilitegemewa iwe hivyo.
View attachment 2780681
=====
Ufafanuzi kutoka Manispaa ya Kinondoni kuhusu upangishaji wa fremu Mwenge kutoka kwa Akwilinus Shiduki Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Manispaa ya kinondoni na Shedrack Mbonika Afisa uwekezaji Manispaa
Akwilinus Shiduki amesema;
Upangishaji umekwenda hatua kwa hatua kwa kutangaza kwa wafanyabiashara au wananchi wenye nia ya kupanga katika eneo la Mwenge wajisajiri katika mfumo wa Tausi TAMISEMI na muda utakapofika (tar 18 Oktoba) mchakato wa kuanza kuomba kupitia mfumo wa mnada wa mtandao utaendelea. Akiongeza pia, tangazo lilitoka kuanzia mwezi wa 6 kusambaza taarifa hizi.
Akiongeza juu suala hilo Bwana Shedrack Mbonika amesema kuwa mchakato umeanza na hatua inayoendelea sasa ni kujisajiri pekee huku wakisubiri hatua nyingine kufuata, ambapo tar. 18 Oktoba ndio hatua nyingine inaanza kwa watu kuanza kuingia kwenye mnada na kushinda kwa kupata fremu husika, na kwamba si kweli kuwa kuna watu wameshagawiwa fremu hizo kabla ya mnada kuanza.
Ameendelea kuwa, kuna jumla ya vyumba 148 vikiwa kwenye sakafu 3 vilivyogawanywa kwenye minada ya aina mbili. Mnada wa kwanza ni mnada wa wazi (open auction) ambao utakuwa na vyumba 39 kwaajili ya biashara mchanganyiko na vyumba vilivyosalia vitatolewa kwenye mnada fungwa (closed auction) uliofungwa kwaajili ya watu wanaotoa huduma mahususi mfano huduma za kibenki, dawa nk.
Akieleza kuhusu wafanyabiashara waliopisha ujenzi huo kuahidiwa kupewa kipaumbele, Bwana Shedrack amesema; waliopisha ujenzi ni wafanyabiashara 1500 ambao hawaendani na uwiano wa soko, namna pekee ya mtu kupata fremu ni kwa njia ya ushindani, na kwa atakayekosa fame hizo bado Halmashauri imewazingatia kwa kutengeneza mradi pembezoni na mradi wa stendi Mwenge, kwa kutengeneza soko la wamachinga upande wa Coca Cola kwa kuweka ruti ya daladala, vyoo vya kisasa na vibanda vinavyoweza kuhimili wafanyakazi 1,000 kwa wakati mmoja.
Na kwa ambaye haelewi mfumo huu unavyofanya kazi wanakaribishwa kwenda kupatiwa elimu juu ya mfumo huu katika katika vituo vyao 6 vilivyopo Bunju, Kibo-Tegeta, Mwenge, Mikocheni pamoja na Namanga.
Ukipewa frame utaweza kulipa kodi au ndio mtaanza kuandamana kuleta usumbufu tu.Tulia wewe
Mtaje hapa unaficha nini?Unashangaa hilo.
Kuna mahali niliona mlipa kodi mmoja mkubwa kabisa nae ni mnufaika wa funds toka Shiraka moja kubwa.
Hawa matajiri na viongozi wanashiriki kutunyonya mpaka damu itoke.
Biashara sokoniYote ya yote.. sidhani kama kuna stand au eneo lenye warembo/watoto wazuri kama hapo kipande cha MWENGE.. ikifatiwa na Makumbusho.. kuna VYUMA kulaanina
Duh kumbeBiashara sokoni
Kweli Aiseeeee !!Wewe huna hata biashara ya kuuza karanga unacholalamika ni nini?
Kuna vyuma balaaaYote ya yote.. sidhani kama kuna stand au eneo lenye warembo/watoto wazuri kama hapo kipande cha MWENGE.. ikifatiwa na Makumbusho.. kuna VYUMA kulaanina
Haha mwarusembeSerikali.ile stendi ya bunju sokoni.
Haina tofauti na stendi ya mwarusembe
Mnada bado, kashinda vipi?!Kashinda kupitia tausi portal
Wanalazimisha daladala ziingie mule .hakuna cha maana walichojenga. Vumbi tupuHaha mwarusembe
Ova
The Return of Msoga Kingdom (Government within a government)Kashinda kupitia tausi portal
tarehe 18 oktoba imeshafika, au ni ya mwaka jana?kiongeza juu suala hilo Bwana Shedrack Mbonika amesema kuwa mchakato umeanza na hatua inayoendelea sasa ni kujisajiri pekee huku wakisubiri hatua nyingine kufuata, ambapo tar. 18 Oktoba ndio hatua nyingine inaanza kwa watu kuanza kuingia kwenye mnada na kushinda kwa kupata fremu husika, na kwamba si kweli kuwa kuna watu wameshagawiwa fremu hizo kabla ya mnada kuanza.
Hata ndani ya TPA Kapatiwa shed number 1 pale pembeni ya operation manager na pale UDA kaweka ICD hamna tabu 🤣 🤣Salaam,
Kama mtakumbuka eneo la stand ya Mwenge ambapo ni maarufu wakati ule kwa wamachinga palivunjwa kwa lengo la kufanyia maboresho.
Sasa kilichotokea, inasemekana Mnada kwa wale yale mabanda mapya umefanyika Usiku wa kuamkia Jana na GSM amepata zaidi ya nusu ya mabanda ya Stand.
Kama ni kweli, hii sio haki kabisa kwa watu wa pale na walikuwa na uwezo wa kushinda mnada.
NB: kama ni kweli, sidhani kama Rais ataenda kuzindua kwa kuwa ilitegemewa iwe hivyo.
View attachment 2780681
=====
Ufafanuzi kutoka Manispaa ya Kinondoni kuhusu upangishaji wa fremu Mwenge kutoka kwa Akwilinus Shiduki Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Manispaa ya kinondoni na Shedrack Mbonika Afisa uwekezaji Manispaa
Akwilinus Shiduki amesema;
Upangishaji umekwenda hatua kwa hatua kwa kutangaza kwa wafanyabiashara au wananchi wenye nia ya kupanga katika eneo la Mwenge wajisajiri katika mfumo wa Tausi TAMISEMI na muda utakapofika (tar 18 Oktoba) mchakato wa kuanza kuomba kupitia mfumo wa mnada wa mtandao utaendelea. Akiongeza pia, tangazo lilitoka kuanzia mwezi wa 6 kusambaza taarifa hizi.
Akiongeza juu suala hilo Bwana Shedrack Mbonika amesema kuwa mchakato umeanza na hatua inayoendelea sasa ni kujisajiri pekee huku wakisubiri hatua nyingine kufuata, ambapo tar. 18 Oktoba ndio hatua nyingine inaanza kwa watu kuanza kuingia kwenye mnada na kushinda kwa kupata fremu husika, na kwamba si kweli kuwa kuna watu wameshagawiwa fremu hizo kabla ya mnada kuanza.
Ameendelea kuwa, kuna jumla ya vyumba 148 vikiwa kwenye sakafu 3 vilivyogawanywa kwenye minada ya aina mbili. Mnada wa kwanza ni mnada wa wazi (open auction) ambao utakuwa na vyumba 39 kwaajili ya biashara mchanganyiko na vyumba vilivyosalia vitatolewa kwenye mnada fungwa (closed auction) uliofungwa kwaajili ya watu wanaotoa huduma mahususi mfano huduma za kibenki, dawa nk.
Akieleza kuhusu wafanyabiashara waliopisha ujenzi huo kuahidiwa kupewa kipaumbele, Bwana Shedrack amesema; waliopisha ujenzi ni wafanyabiashara 1500 ambao hawaendani na uwiano wa soko, namna pekee ya mtu kupata fremu ni kwa njia ya ushindani, na kwa atakayekosa fame hizo bado Halmashauri imewazingatia kwa kutengeneza mradi pembezoni na mradi wa stendi Mwenge, kwa kutengeneza soko la wamachinga upande wa Coca Cola kwa kuweka ruti ya daladala, vyoo vya kisasa na vibanda vinavyoweza kuhimili wafanyakazi 1,000 kwa wakati mmoja.
Na kwa ambaye haelewi mfumo huu unavyofanya kazi wanakaribishwa kwenda kupatiwa elimu juu ya mfumo huu katika katika vituo vyao 6 vilivyopo Bunju, Kibo-Tegeta, Mwenge, Mikocheni pamoja na Namanga.
Acha tu.. mida ya jion hiv kuanzia saa 11.. mpk saa 3 usiku hicho kichochoro cha kutokea Jamirex na kule kwenye main road.. aiseee kuna Watu. Alafu ni pisi classic sio kama wale wa Buza.Kuna vyuma balaaa
Naona warembo watajaa hapo
Stendi
Ova
Acheni uongo, kulingana na TAUSI Portal , mnada haujafanyika hadi tarehe 18/10/2023Salaam,
Kama mtakumbuka eneo la stand ya Mwenge ambapo ni maarufu wakati ule kwa wamachinga palivunjwa kwa lengo la kufanyia maboresho.
Sasa kilichotokea, inasemekana Mnada kwa wale yale mabanda mapya umefanyika Usiku wa kuamkia Jana na GSM amepata zaidi ya nusu ya mabanda ya Stand.
Kama ni kweli, hii sio haki kabisa kwa watu wa pale na walikuwa na uwezo wa kushinda mnada.
NB: kama ni kweli, sidhani kama Rais ataenda kuzindua kwa kuwa ilitegemewa iwe hivyo.
View attachment 2780681
=====
Ufafanuzi kutoka Manispaa ya Kinondoni kuhusu upangishaji wa fremu Mwenge kutoka kwa Akwilinus Shiduki Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Manispaa ya kinondoni na Shedrack Mbonika Afisa uwekezaji Manispaa
Akwilinus Shiduki amesema;
Upangishaji umekwenda hatua kwa hatua kwa kutangaza kwa wafanyabiashara au wananchi wenye nia ya kupanga katika eneo la Mwenge wajisajiri katika mfumo wa Tausi TAMISEMI na muda utakapofika (tar 18 Oktoba) mchakato wa kuanza kuomba kupitia mfumo wa mnada wa mtandao utaendelea. Akiongeza pia, tangazo lilitoka kuanzia mwezi wa 6 kusambaza taarifa hizi.
Akiongeza juu suala hilo Bwana Shedrack Mbonika amesema kuwa mchakato umeanza na hatua inayoendelea sasa ni kujisajiri pekee huku wakisubiri hatua nyingine kufuata, ambapo tar. 18 Oktoba ndio hatua nyingine inaanza kwa watu kuanza kuingia kwenye mnada na kushinda kwa kupata fremu husika, na kwamba si kweli kuwa kuna watu wameshagawiwa fremu hizo kabla ya mnada kuanza.
Ameendelea kuwa, kuna jumla ya vyumba 148 vikiwa kwenye sakafu 3 vilivyogawanywa kwenye minada ya aina mbili. Mnada wa kwanza ni mnada wa wazi (open auction) ambao utakuwa na vyumba 39 kwaajili ya biashara mchanganyiko na vyumba vilivyosalia vitatolewa kwenye mnada fungwa (closed auction) uliofungwa kwaajili ya watu wanaotoa huduma mahususi mfano huduma za kibenki, dawa nk.
Akieleza kuhusu wafanyabiashara waliopisha ujenzi huo kuahidiwa kupewa kipaumbele, Bwana Shedrack amesema; waliopisha ujenzi ni wafanyabiashara 1500 ambao hawaendani na uwiano wa soko, namna pekee ya mtu kupata fremu ni kwa njia ya ushindani, na kwa atakayekosa fame hizo bado Halmashauri imewazingatia kwa kutengeneza mradi pembezoni na mradi wa stendi Mwenge, kwa kutengeneza soko la wamachinga upande wa Coca Cola kwa kuweka ruti ya daladala, vyoo vya kisasa na vibanda vinavyoweza kuhimili wafanyakazi 1,000 kwa wakati mmoja.
Na kwa ambaye haelewi mfumo huu unavyofanya kazi wanakaribishwa kwenda kupatiwa elimu juu ya mfumo huu katika katika vituo vyao 6 vilivyopo Bunju, Kibo-Tegeta, Mwenge, Mikocheni pamoja na Namanga.
Kweli aiseeSerikali.ile stendi ya bunju sokoni.
Haina tofauti na stendi ya mwarusembe