Tetesi: Inasemekana GSM apata zaidi ya nusu ya mabanda (frame) mapya yaliyopo Stand mpya Mwenge



Mnada umefanyika, na yeye kapata, inakuwaje sio haki?
 
tarehe 18 oktoba imeshafika, au ni ya mwaka jana?
 
Hata ndani ya TPA Kapatiwa shed number 1 pale pembeni ya operation manager na pale UDA kaweka ICD hamna tabu 🤣 🤣
 
Acheni uongo, kulingana na TAUSI Portal , mnada haujafanyika hadi tarehe 18/10/2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…