Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wamiliki hawavifanyii service unakuta kigari kinagonga kama guta. Vingine unakuta vinakoroma utafikiri vimevalishwa engine ya Subaru STIKwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema vitz ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.
Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
View attachment 2950673
KATAA NDOA SAWA ILA KATAA IST HAPANA HIYO.200k mileage chali
Hiko ni ki mkebe usikubali maisha ya shida
Kataa ndoa
kataa IST
Utakuta hiyo IST ndio ndoa yake200k mileage chali
Hiko ni ki mkebe usikubali maisha ya shida
Kataa ndoa
kataa IST
Hahaha. Humu JF kwenye mada zake kama umekosa kabisa la kukufanya ucheke basi una tatizo kubwa mno.200k mileage chali
Hiko ni ki mkebe usikubali maisha ya shida
Kataa ndoa
kataa IST
Mchawi budget.Hamna gari hapo.
Bora uchukue Toyota Prius kama unahitaji gari haitumii mafuta sana.
😁🤣😁Hiyo Mafuta Inanusa Kama Ugoro Halafu Inapiga Chafya Tele Mwendo Kama Wote
Kwanini uchuke Prius kwa kuendekeza anasa wakati Gaza madogo wanawake wanakufa kwa njaa?Hamna gari hapo.
Bora uchukue Toyota Prius kama unahitaji gari haitumii mafuta sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo Mafuta Inanusa Kama Ugoro Halafu Inapiga Chafya Tele Mwendo Kama Wote
Yaani unakua na pesa, iki kinakua backup car. Kipindi cha mvua au trip za Kariakoo unamuacha mnyama home unaenda na hiki.Naunga mkono hoja ila hivi ukiendesha sana vinatabia ya kuunguruma vibaya sana ila vinasaidia sana hivi kipindi cha mvua
Ni gari Moja nzuri, inaweza ita mafuta chalinze na Bado ukaja jaza sheli za posta, ukifanya service at time unaweza mgusa mtu na pampa mlio asiusikie , 1.5liter ni the best ever, weka oil 5-30 kwa injini ,angalau kwa mwaka mara mbili coz unaweza usimalize km, kama uko vizuri fanya service hata mara tatu kwa mwaka, Kila baada ya miez minne, hapo hujamaliza kmsNaunga mkono hoja ila hivi ukiendesha sana vinatabia ya kuunguruma vibaya sana ila vinasaidia sana hivi kipindi cha mvua
Naunga mkono hoja kakaYaani unakua na pesa, iki kinakua backup car. Kipindi cha mvua au trip za Kariakoo unamuacha mnyama home unaenda na hiki.
Naunga mkono hojaNi gari Moja nzuri, inaweza ita mafuta chalinze na Bado ukaja jaza sheli za posta, ukifanya service at time unaweza mgusa mtu na pampa mlio asiusikie , 1.5liter ni the best ever, weka oil 5-30 kwa injini ,angalau kwa mwaka mara mbili coz unaweza usimalize km, kama uko vizuri fanya service hata mara tatu kwa mwaka, Kila baada ya miez minne, hapo hujamaliza kms