Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

IST zina engine nzuri, kwa generation ya kwanza vinatumia 1.3L 2NZ-FE au 1.5L 1NZ-FE ambazo ni engine nzuri zimetumika kwenye Corolla.

Tatizo watumiaji au wamiliki wengi wa hizi gari kwakua wameshaambiwa ni cheap ku-maintain basi ndii hawafanyi maintenance kabisa. Wamekalili Toyota engine ina last forever.

Mostly hawabadirishi oil on time, ATF, mabush etc.

Ila kikimpata mtu ambae sio bahiri na anapenda gari lake, hiki kidude kinaweza kufika 300k kilometres.
Maelezo yanatosha kabisa
 
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.

View attachment 2950673
Usisikilize watu ishi maisha unayomudu. Ukiona maisha ni magumu, ujue unaishi juu ya budget yako
 
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.

View attachment 2950673
Uwezo wako ndio uta determine unaanza na gari gani, wakati wewe unaona ist, wenzio wanaona rav 4 , wanapna subaru tx
 
Hapana kaka achana na hiyo gari sio unyama.

Kama unataka gari ya kuanzia, kanunue AUDI A4, BMW 3 series, Mercedes C class au kama mnyonge sana nunua Toyota Crown GRS 180 hapo

Usikae kinyonge. Ukitoka hapo utakua umejifunza mengi
 
Anaweza asitamani tena kununua gari!! German dogs inatakiwa kuwe na back up car, yani unanunua BMW au AUDI kama gari ya pili au ya tatu sio gari ya kuanzia maisha
 
Back
Top Bottom