Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Maelezo yanatosha kabisa
 
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.

View attachment 2950673
Usisikilize watu ishi maisha unayomudu. Ukiona maisha ni magumu, ujue unaishi juu ya budget yako
 
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.

View attachment 2950673
Uwezo wako ndio uta determine unaanza na gari gani, wakati wewe unaona ist, wenzio wanaona rav 4 , wanapna subaru tx
 
Hapana kaka achana na hiyo gari sio unyama.

Kama unataka gari ya kuanzia, kanunue AUDI A4, BMW 3 series, Mercedes C class au kama mnyonge sana nunua Toyota Crown GRS 180 hapo

Usikae kinyonge. Ukitoka hapo utakua umejifunza mengi
 
Anaweza asitamani tena kununua gari!! German dogs inatakiwa kuwe na back up car, yani unanunua BMW au AUDI kama gari ya pili au ya tatu sio gari ya kuanzia maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…