It can be true kwa sababu watoto wawapendao wazazi wao wa dif. Sex hupenda kuoa wake au kuolewa na waume wanaofanana nao ambao kwao ndo modal wa best wife au husband.Una mpenda mumeo? Unampenda mkeo? Inasemekana: huanzia utotoni. Mtoto wa kike ampendaye sana babake atakapokuwa mtu mzima atakuwa na mapenzi makubwa kwa mumewe. Mtoto wa kike ampendaye sana mama yake huyo atakapo olewa anawalakini wa kudumu ndoani. Mtoto wa kiume ampendaye sana mama yake utotoni baadaye huwa na mapenzi ya dhati kwa mkewe. Aliyependa sana kuwa na babaye hukawia kuoa,na wakioa wakosoaji sana kwa wake zao na yawezekana ndoa isidumu. Proved it?. I stand be corrected though....
Ni kweli!kabisaaaa..mi nampenda sana baba yangu,na nikiwa kwenye relationship huwaga ninamapenzi sn!
True!
Nilham.kuna ukweli sana.proved.
hashycool.okeydokey....
What if; binti alimpenda sana mama yake kuliko baba yake(oneside) halafu akaolewa na rijamaa ambalo lilimpenda sana baba yake kuliko mama yake; nini nafasi ya nadharia hii? au ndo mambo ya wakuria? maana si wote watakua hawapendani accordin to this theory? mimi nampenda baba, mama, mke wangu na ndg hasa mashemeji zangu wa kike!!