Inasemekana hivi...

Inasemekana hivi...

Beez

Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
19
Reaction score
0
Una mpenda mumeo? Unampenda mkeo? Inasemekana: huanzia utotoni. Mtoto wa kike ampendaye sana babake atakapokuwa mtu mzima atakuwa na mapenzi makubwa kwa mumewe. Mtoto wa kike ampendaye sana mama yake huyo atakapo olewa anawalakini wa kudumu ndoani. Mtoto wa kiume ampendaye sana mama yake utotoni baadaye huwa na mapenzi ya dhati kwa mkewe. Aliyependa sana kuwa na babaye hukawia kuoa,na wakioa wakosoaji sana kwa wake zao na yawezekana ndoa isidumu. Proved it?. I stand be corrected though....
 
It can be true kwa sababu watoto wawapendao wazazi wao wa dif. Sex hupenda kuoa wake au kuolewa na waume wanaofanana nao ambao kwao ndo modal wa best wife au husband.
 
Chief.umenisoma vema.mapenzi yanaanzia mbali....
 
Na je, ni kweli kwamba baba akiwa malaya basi akipata watoto wa kike nao itakuwa balaa? (malaya?) Na kwamba kama mama ndiyo malaya basi watoto wa kiume ndiyo watakuwa malaya?
 
Ni kweli!kabisaaaa..mi nampenda sana baba yangu,na nikiwa kwenye relationship huwaga ninamapenzi sn!
True!
 
mh i will start now,,, mi kiupande wangu nampenda sana baba na kaka kwa ajili sina dada,,,sasa wasema ndio nikiolewa ntaachwa,,,mbona hivyo??? wantisha,,
Nilham.kuna ukweli sana.proved.
 
hilo si sahihi kabisa. from my observation, mapenzi ya kweli ni regardless na famili relationships.
 
Bwegebwege:no offense coz hili ni jina lako.binafsi siamini katika hiyo nadharia.
 
Lisa.basi we tunda zuri la nadharia hii.keep it.
 
Nalhim.yaelekea kwa nadharia hii utakuwa wife to be mziri.wampenda baba na kaka.ila yaelekea utapenda kudeka kwa mumueo.ask why?haha.
 
Judith.with due respect.umegoma kabisa.hahahahaha
 
What if; binti alimpenda sana mama yake kuliko baba yake(oneside) halafu akaolewa na rijamaa ambalo lilimpenda sana baba yake kuliko mama yake; nini nafasi ya nadharia hii? au ndo mambo ya wakuria? maana si wote watakua hawapendani accordin to this theory? mimi nampenda baba, mama, mke wangu na ndg hasa mashemeji zangu wa kike!!
 
Duh!
Salama lakini?
 
Back
Top Bottom