MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Itakuwa vigumu sana kuja kuwaaminisha wajukuu zangu kwamba huyu beki alikuwa mbele kabla mzize hajampita na kutoa assist moja kali sana, Na huyo ndiye beki wao tegemezi 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I mean Mzize.Typing error ndogo ndogo za kawaida mkuuKaka ina maana toka uanze kumfuatilia huyo kijana hujawahi kuona jina lake linavyoandikwa hata kwenye jezi au vikosi vya mechi?