MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 1,970 Reaction score 4,037 Sep 20, 2024 #1 Itakuwa vigumu sana kuja kuwaaminisha wajukuu zangu kwamba huyu beki alikuwa mbele kabla mzize hajampita na kutoa assist moja kali sana, Na huyo ndiye beki wao tegemezi πππ
Itakuwa vigumu sana kuja kuwaaminisha wajukuu zangu kwamba huyu beki alikuwa mbele kabla mzize hajampita na kutoa assist moja kali sana, Na huyo ndiye beki wao tegemezi πππ
puzo255 Senior Member Joined Jul 2, 2024 Posts 183 Reaction score 655 Sep 20, 2024 #2 Kaka ina maana toka uanze kumfuatilia huyo kijana hujawahi kuona jina lake linavyoandikwa hata kwenye jezi au vikosi vya mechi?
Kaka ina maana toka uanze kumfuatilia huyo kijana hujawahi kuona jina lake linavyoandikwa hata kwenye jezi au vikosi vya mechi?
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 1,970 Reaction score 4,037 Sep 20, 2024 Thread starter #3 Active naomba mnisaidie kutekebisha heading ni Mzize badala ya Mzinze
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 1,970 Reaction score 4,037 Sep 20, 2024 Thread starter #4 puzo255 said: Kaka ina maana toka uanze kumfuatilia huyo kijana hujawahi kuona jina lake linavyoandikwa hata kwenye jezi au vikosi vya mechi? Click to expand... I mean Mzize.Typing error ndogo ndogo za kawaida mkuu
puzo255 said: Kaka ina maana toka uanze kumfuatilia huyo kijana hujawahi kuona jina lake linavyoandikwa hata kwenye jezi au vikosi vya mechi? Click to expand... I mean Mzize.Typing error ndogo ndogo za kawaida mkuu
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Sep 20, 2024 #6 nyuzi nyingine, bora vyuo vya certificate vifunguliwe watu warudi!
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 20, 2024 #7 Mnatia aibu kwakweli...πππ
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Sep 20, 2024 #8 Tanzania imejaa mijitu mwingine minjinga sana, Jamii forums imekuwa jukwaa la wajinga kutapika upuuzi wao! Uzi hauna maana yoyote na bado mods wanaungalia tu. StpD
Tanzania imejaa mijitu mwingine minjinga sana, Jamii forums imekuwa jukwaa la wajinga kutapika upuuzi wao! Uzi hauna maana yoyote na bado mods wanaungalia tu. StpD