Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
I salute you kinsmen
Wakuu
Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49).
Pira Ureno linakuja Jangwani,now kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga✅
Ikumbukwe kocha huyo aliifikisha Angola hatua ya robo fainali kwenye Afcon iliyopita.👇
Yanga wapo njiani kumuajiri kocha wa zamani wa Ekenäs ya Finland,Casa Pia ya Ureno,na timu za vijana za Sporting Lisbon,Filipe Duarte da Silva Pedro,kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo✅
Kocha huyo ataambatana na kocha mkuu Pedro Gonçalves ili kuinoa Yanga.
Ikumbukwe walikuwa pamoja kwenye timu ya taifa ya Angola.
Hizi ni tetesi huenda zinaweza kutimia au lah