Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
ChaiI salute you kinsmen
Wakuu
Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49).
Pira Ureno linakuja Jangwani,now kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga✅
Ikumbukwe kocha huyo aliifikisha Angola hatua ya robo fainali kwenye Afcon iliyopita.
View attachment 3493248
Binafsi naona huyu maana alipokuwa Angola afcon tulimuona akiwa na huyo msaidizi wakeKwahiyo mkuu, kati ya huyu na yule wa national team ya madagascar yupi mzuri?
Ngoja tuone mkuu kama atakuwa na mpira wa kutisha.Binafsi naona huyu maana alipokuwa Angola afcon tulimuona akiwa na huyo msaidizi wake
Pia kule de agosto waliokuwa wanafika sana robo na nusu hizi CAFCL lakini tangu kuondoka kwake de agosto wamekuwa wa kawaida sana
Naona hata huyu sawa maana rais we kaamua kuwa kina Hamdi hawafai tufanyaje mkuu?
Huyu tayari ana uzoefu na soka africa tofauti na folz ambaye alikuwa kwenye mgongo wa kocha msaidizi tu..
Naskia atatambulishwa leo mechi ikiisha
Ngoja tuone kama kweli atatambulishwa huyuNgoja tuone mkuu kama atakuwa na mpira wa kutisha.
Halafu kocha wetu wa viungo yule Bishoo sana yaani wachezaji wetu wamekuwa na stamina ndogo sana kwanini yule mwarabu asirudishwe?Ngoja tuone mkuu kama atakuwa na mpira wa kutisha.
Kweli wachezaji wamekuwa laini laini sana.Halafu kocha wetu wa viungo yule Bishoo sana yaani wachezaji wetu wamekuwa na stamina ndogo sana kwanini yule mwarabu asirudishwe?
Ha ha ha eti bishoo.Halafu kocha wetu wa viungo yule Bishoo sana yaani wachezaji wetu wamekuwa na stamina ndogo sana kwanini yule mwarabu asirudishwe?