Inasemekana Ivan the Don hajafa

Inasemekana Ivan the Don hajafa

Kafa kama wanavyokufa viumbe wengine, asife yeye kiumbe gani au pesa alizokuwa anatupia insta mtoa roho ata hogwa ili asitolewe uhai
 
Watu wa insta akili zimeganda eti $500M hivi mnacheza na hiyo pesa
 
Style ya kujiliwaza kwenye mitandao maisha yakiwa magumu. ........
 
Hata tupac walisema hivo,wenzio wanaliwa na funza huko chini ya udongo halafu wengine mnasema hajafa ngoja mwenyewe aje aseme kama ni kweli hajafa
 
f7da48f41e527f5ad9277517354ae706.jpg
. Hii ni ww au???
 
Back
Top Bottom