Wapo kila mahaliwanapatikana mahal gan dunian
still wapo celebs wengi tu who take good diet,do exercises/& yoga and yet go under the knife.Si lazima but zipo several cases.Ukishaweka healthy diet na exercises huwezi kuijuisha na plastic surgery.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nae ni vampire , ila kama kuna ukweli vile, huyu dully Skye's wakati nyimbo yake ya kwanza miaka hiyo nilikuwa bado mdogo sana, leo ukinilinganisha na dully unaweza kusema mim ni baba yake, yaan nimezeeka yeye bado kijana
Wema Sepenga Steel young
Gongo (konyagi mwitu )Hahhahhhaaha mkuu nyagimwitu ndo nn ?[emoji28] [emoji28]
Awwwwwww jamani Pharrel nampendaaa [emoji11][emoji11][emoji11]Pharrel Williams
Age: 43
Face lifting naamini ina husisha pia wenye eye bags,Double chins na kukaza ngozi ya uso na sio kwa walio shuka mashavu tu pengine naweza kuwa nimekosea ila kwa upeo wa uelewa wangu nina dhani Plastic surgery nikupandikiza artificial layer juu ya ngozi iliyo athirika iwe kwa moto,ndui,michubuko mikubwa n.k tofauti na skin graft ambayo huwa ni kwa minor operations.Hii wanafanya wenye mashavu yaliyoshuka.
Uzee wako ni ugumu wa maisha yako ndo umechangiaNae ni vampire , ila kama kuna ukweli vile, huyu dully Skye's wakati nyimbo yake ya kwanza miaka hiyo nilikuwa bado mdogo sana, leo ukinilinganisha na dully unaweza kusema mim ni baba yake, yaan nimezeeka yeye bado kijana
Hata mimi ni vampire
Unamaanisha Niklaus Mikaelson wa The Vampire Diaries?Hatari sana mkuu namuona hapo Nick Claus (the hybrid)
Unamaanisha Niklaus Mikaelson wa The Vampire Diaries?
Oki lengo langu ilikuwa ni kukurekebisha kwenye jina hapo.....Ni Niklaus sio Nick ClausHuyo huyo mkuu, kwenye the originals yeye ni hybrid vampire
Oki lengo langu ilikuwa ni kukurekebisha kwenye jina hapo.....Ni Niklaus sio Nick Claus
Hata mimi ni vampire