Inasemekana kwamba mwanamziki Brandy ni VAMPIRE!!

Inasemekana kwamba mwanamziki Brandy ni VAMPIRE!!

Tatzo bongo watu wanafakamia sana,ulaji wa ovyo unazeesha...na maisha magumu ya magufuli udogo mtabaki nao vipi..haha
 
Ukishaweka healthy diet na exercises huwezi kuijuisha na plastic surgery.
still wapo celebs wengi tu who take good diet,do exercises/& yoga and yet go under the knife.Si lazima but zipo several cases.
 
Nae ni vampire , ila kama kuna ukweli vile, huyu dully Skye's wakati nyimbo yake ya kwanza miaka hiyo nilikuwa bado mdogo sana, leo ukinilinganisha na dully unaweza kusema mim ni baba yake, yaan nimezeeka yeye bado kijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii wanafanya wenye mashavu yaliyoshuka.
Face lifting naamini ina husisha pia wenye eye bags,Double chins na kukaza ngozi ya uso na sio kwa walio shuka mashavu tu pengine naweza kuwa nimekosea ila kwa upeo wa uelewa wangu nina dhani Plastic surgery nikupandikiza artificial layer juu ya ngozi iliyo athirika iwe kwa moto,ndui,michubuko mikubwa n.k tofauti na skin graft ambayo huwa ni kwa minor operations.
 
Nae ni vampire , ila kama kuna ukweli vile, huyu dully Skye's wakati nyimbo yake ya kwanza miaka hiyo nilikuwa bado mdogo sana, leo ukinilinganisha na dully unaweza kusema mim ni baba yake, yaan nimezeeka yeye bado kijana
Uzee wako ni ugumu wa maisha yako ndo umechangia
 
Back
Top Bottom