Inasemekana kwamba mwanamziki Brandy ni VAMPIRE!!

Aboubakar Sadick nae hazeekagi
enh haka kajamaa nako ni kavampire itakuwa!
ahahahahha nawaza uvampire na kutokuzeeka kunahusikaje!
ila kama kuwa vampire mtu anakuwa hazeeki basi Aboubaqar Sadiq atakuwa kubwa la mavampire!
lol!
 
Anazeeka bwana cheki sura ilivokaza hapo ni kama mtu na mama yake
 
Hata mimi sina mabadiliko ndani ya miaka 10 husijeniita vampire
 
Genetical makeup yake ipo vizuri.
Mkuu kama biology ipo kichwani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…