snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
enh haka kajamaa nako ni kavampire itakuwa!Aboubakar Sadick nae hazeekagi
ahahahahha nawaza uvampire na kutokuzeeka kunahusikaje!
ila kama kuwa vampire mtu anakuwa hazeeki basi Aboubaqar Sadiq atakuwa kubwa la mavampire!
lol!