Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
 
Keshaishiwa huyo hakuna anayewesa kumchagua.
 
Watu wa kusini wachangamke na wao kazi kuwa machawa tuu , wataishia kuwa mitoilet paper , Lukuvi ndo kete yao pekee iliyo na nguvu sana , tatizo yamekuwa michawa ya watu wa Pwani , tabu kabisa.... Utashangaa hata support hapewi, duniani hapa kula na wa kwenu full stop , huoni twiga wanapelekwa Kwa mjomba Omani daily , fukuza Loliondo wote wajomba wawekeze ..
 
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Tunakiombea kiti kiendelee kupata mtu sahihi kama Mungu anavyotaka
 
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Very smart , nitampa kura yangu na tutampigania .
Achukue fomu haraka
 
Lukuvi anayo haki ya kufanya hivyo. Lakini ndani ya ccm si wanapeana miaka 10. Kama ndivyo basi mheshimiwa mama atagombea 2025. Vinginevyo labda wale WAGUMU wa kuelewa wanaosema mama anamalizia utawala wa awamu ya tano kikatiba, na baada ya hapo utaitishwa uchaguzi ndani ya chama kumchagua mgombea atakayewakilisha chama 2025 na kumpata raisi wa kuchaguliwa wa awamu ya 6.
 
Back
Top Bottom