Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Uzuri nobody cares about that......
Akiwa anastahili atapata akiwa hastahili atakosa.
Ila sio kwa agenda zako za kidini.
Unajiskiaje kuwa mtu unayependa kutambulika kwa Dini yako popote pale Ulipo?
Jamaa ni very genius
 
Sijui atapata kura ya nani!😁 labda wa imani yake na dhehebu lake kwa ujumla, kwa muislamu asitegemee kupata kura

Kama mnakumbuka maneno yake ya uchochezi dhidi ya waislamu hukoo kanisani

Very genius. Ameongea ukweli mtupu
 
Uzuri nobody cares about that......
Akiwa anastahili atapata akiwa hastahili atakosa.
Ila sio kwa agenda zako za kidini.
Unajiskiaje kuwa mtu unayependa kutambulika kwa Dini yako popote pale Ulipo?

Ndio maana nikasema hatapata kura kwa waislamu/wanaojitambua na wapenda haki na sio chuki chuki tuu

Unajiskiaje kuwa mtu unayependa kutambulika kwa Dini yako popote pale Ulipo?

Ni fahari iliyoje kuwa katika dini ya Mwenyezi Mungu UISILAMU! I'M SO PROUD TO BE A MUSLIM

Olenimala nkoi?
 
Back
Top Bottom