BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Tulikua hatujui kua Lukuvi kakuoa weweHata mke wake haamini kwamba huyo anauweza urais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikua hatujui kua Lukuvi kakuoa weweHata mke wake haamini kwamba huyo anauweza urais.
Kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kufuatana na Katiba yetu,so namtakia kila la heri.Naomba tu CCM wasimbughudhi,maana wana vitimbwi kweli kweli.Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Naunga mkono hoja ✌️Ni haki yake Kikatiba.
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Research Yako imekaa njema .Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Sasa umejuaTulikua hatujui kua Lukuvi kakuoa wewe
Mnafiki wewe. Hata kipindi kile ulikuwa unamuabudu magufuli kama zuzu.Haki yake, atimize masharti na vigezo. Sukuma gang wapo watamuunga mkono. Wengine sisi tuna mama Samia mpaka kieleweke.
Wakuabudiwa ni Allah pekee. Kumbuka hilo.Mnafiki wewe. Hata kipindi kile ulikuwa unamuabudu magufuli kama zuzu.
Samia huna jipya. Jinga wahed!
Haya uliyosema hapa hayawezi kamwe kuwa ushahidi usiokuwa na mashaka kwa Lukuvi.Huyu ni STD VII halafu akaenda kuwa mwalimu wa UPE. Kisha TANU Youth League na warsha za Eastern Europe kusomea mambo ya siasa. Asijidanganye kwamba anajuwa kitu. Kilicho mfikisha hapo kuwa Waziri kwa Marais 4 ni tabia yake tu ya USNITCH au UNDUMILAKUWILI. Wasiomjua wanamuona mchapa kazi, ila tunaomjua tunasema hana lolote
Kapiga Kaz kubwa sana wizara ya ardhiHana ushawishi kiasi hicho.
Hongera sana shemeji yetu, mwache mzee ajaribisheSasa umejua
Kama ni kweli, mimi, familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu tutampa kura na atashinda.
Watu wa Iringa nawakubali sana hasa kutokana na Historia yao ya kumtandika Mjerumani na kufanikiwa kumuua Emil Von Zelewisk aliyekuwa Kamanda wa jeshi la kijerumani.
Amefanya kazi gani Lukuvi? Au unaongelea zile clips zake kwa vyombo vya habari akijifanya anatatua matatizo ya ardhi? Hamna kitu zaidi ya kujilamba midomoHaya uliyosema hapa hayawezi kamwe kuwa ushahidi usiokuwa na mashaka kwa Lukuvi.
Umesema watu "wameona kazi zake", rekodi hiyo ipo.
Leta ushahidi unaopingana na rekodi hiyo kama unataka watu wamwone hafai.
Mtu unasema "unamjua", halafu unaishia kusema haya uliyoweka hapa juu ndiyo tuyachukulie kama ushahidi wako wa kumjua?
Cheki uliyoandika wewe kuhusu uchapaji kazi wake, mimi nimepitia tu humo humo sijaongeza kitu kingine chochote.Amefanya kazi gani Lukuvi? Au unaongelea zile clips zake kwa vyombo vya habari akijifanya anatatua matatizo ya ardhi? Hamna kitu zaidi ya kujilamba midomo
Kumbuka Jacob Zuma hakuwa na elimu lakini urais aliupata.Huyu ni STD VII halafu akaenda kuwa mwalimu wa UPE. Kisha TANU Youth League na warsha za Eastern Europe kusomea mambo ya siasa. Asijidanganye kwamba anajuwa kitu. Kilicho mfikisha hapo kuwa Waziri kwa Marais 4 ni tabia yake tu ya USNITCH au UNDUMILAKUWILI. Wasiomjua wanamuona mchapa kazi, ila tunaomjua tunasema hana lolote
Hivi akigombea hata udiwani atashinda kweli!
Kusini sawa lakini sio mhehe huwa hawana msimamoWatu wa kusini wachangamke na wao kazi kuwa machawa tuu , wataishia kuwa mitoilet paper , Lukuvi ndo kete yao pekee iliyo na nguvu sana , tatizo yamekuwa michawa ya watu wa Pwani , tabu kabisa.... Utashangaa hata support hapewi, duniani hapa kula na wa kwenu full stop , huoni twiga wanapelekwa Kwa mjomba Omani daily , fukuza Loliondo wote wajomba wawekeze ..
Wewe ni mtupu sana. Nenda tena ukasome CV ya Jacob Zuma ukaone kwa nini alifungwa jela, kwa nini aliishi uhamishoni Mizambique na role yake kwenye Umkhonto we Sizwe. Yaani unalinganisha Lukuvi mwalimu wa UPE na Jacob Zuma??Kumbuka Jacob Zuma hakuwa na elimu lakini urais aliupata.
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app