Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
taraibu za ccm kumpata mgombea wake wa kiti cha urais inajulikana sasa haya unayoaandika umeyatoa wapi.
 
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Is there any problem with that?
 
Nyani haoni kundule, wewe usiye zumari weka ID yako halisi ujulikane. Eti nangu nyau halafu unawatukana angalau wanaojulikana kwa uwazi....

"Retired" hii bila shaka sio ID ya kificho.
Hata wao wapo humu wana ID za vificho na ambazo ni real kama ambavyo hata mimi nilivyonazo moja fake na moja real.

Kuwa na fake ID ni suala langu binafsi kwa sababu zangu binafsi kama wewe unavyotumia fake ID pia.

Siasa haziko JF tu humu, siasa zipo mpaka majukwaani huko, ninaweza kuwa mstari wambele majukwaani kupambania ukombozi.
 
If that is the case then stop despising your fellow fighters! Wacha akina Lema, Lisu and the like waseme maana wao wako wazi wamejitolea maisha yao. Lakini mimi na wewe tuseme kiasi! Maana tu waoga!
 
Yaani kabisa unajinadi kuwa na ID mbili!?
Kweli JF imevamiwa na kizazi cha "kitabu cha uso".
 
If that is the case then stop despising your fellow fighters! Wacha akina Lema, Lisu and the like waseme maana wao wako wazi wamejitolea maisha yao. Lakini mimi na wewe tuseme kiasi! Maana tu waoga!

waseme na sio kupiga zumari.. hata sisi tuna nafasi yetu pia, wao wakisema na sisi tukawa nyuma yao ndio hiyo nguvu yakusema inapatikana, wakitugeuka na kuamua kupiga zumari lazima tuwaambie pia.

Kila jambo lazima liwe na kiongozi, nyuma ya kiongozi au viongozi lazima kuwe na wafuasi wa hiyo itikadi na sio kiongozi, Kiongozi anapokengeuka na kwenda nje ya itikadi na misingi lazima aambiwe.
 
Watu wa kusini wachangamke na wao kazi kuwa machawa tuu , wataishia kuwa mitoilet paper , Lukuvi ndo kete yao pekee iliyo na nguvu sana , tatizo yamekuwa michawa ya watu wa Pwani , tabu kabisa.... Utashangaa hata support hapewi, duniani hapa kula na wa kwenu full stop , huoni twiga wanapelekwa Kwa mjomba Omani daily , fukuza Loliondo wote wajomba wawekeze ..
Wewe umepagawa nini? Lini Iringa wamewahi kuwa machawa? Huu ndiyo mkoa mmojawapo wenye upinzani mkubwa tangu zama hizo
 
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Sasa wewe umejuaje kama hawakualiki huko?
 
Lukuvi anayo haki ya kufanya hivyo. Lakini ndani ya ccm si wanapeana miaka 10. Kama ndivyo basi mheshimiwa mama atagombea 2025. Vinginevyo labda wale WAGUMU wa kuelewa wanaosema mama anamalizia utawala wa awamu ya tano kikatiba, na baada ya hapo utaitishwa uchaguzi ndani ya chama kumchagua mgombea atakayewakilisha chama 2023 na kumpata raisi wa kuchaguliwa wa awamu ya 6.
Sio wagumu kuelewa, hivyo ndio ilitakiwa kufanyika, watoe fomu wanachama wachukue apatikane mgombea wa urais 2025,
Kama watamchagua Samia agombee itakuwa sawa, wanaweza kumpitisha Lukuvi, Kabugi, au hata Lusinde na Msukuma,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom